Nani afanye upatanisho na Shetani? P.M. Mwenyewe kasema raia wapigwe, kama siyo unafiki ni nini?
Liwalo na liwe.
Nani afanye upatanisho na Shetani? P.M. Mwenyewe kasema raia wapigwe, kama siyo unafiki ni nini?
...
.....hatuwezi kupatana na shetani
Ni kweli Lema ni jembe!
Katoa maamuzi mazuri sana na Mungu ampe baraka tele.
Huku Geita tunamtakia Kheri nyingi na Mungu amlinde Daima.
Sasa kwa nini asitumie Jina lake?
www.wavuti.com/4/post/2010/06/dk-imani-kondo-zemarcopolo-atangaza-nia.html
Kwani Lena ndio chadema arusha jamani. Si kuna viongozi wa kanda na mkoa pia. Au kila kitu anafanya yy tu. Kama yy ni jembe mbona alishindwa kufanya hivyo TLP na NCCR kwa miaka mingi tu. Msimpe mtu sifa zisizo zake.
Chadema hawataki maridhiano ya amani!!!
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
Ndio maana mnaweka picha feki kuonyesha kuwa Slaa amepokewa vizuri kumbe amezowema.
Angalia aibu hii...
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kigoma-[photos-are-fake]-4.html#post8006011