Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,299
- 7,322
Wewe ajuza nenda kalee wajukuuNitashangaa kama msajili hatakifutilia mbali.
Wewe ajuza nenda kalee wajukuuNitashangaa kama msajili hatakifutilia mbali.
Ni kweli Lema ni jembe!
Katoa maamuzi mazuri sana na Mungu ampe baraka tele.
Huku Geita tunamtakia Kheri nyingi na Mungu amlinde Daima.
...
.....hatuwezi kupatana na shetani
Nitashangaa kama msajili hatakifutilia mbali.
Ni kweli Lema ni jembe!
Katoa maamuzi mazuri sana na Mungu ampe baraka tele.
Huku Geita tunamtakia Kheri nyingi na Mungu amlinde Daima.
Wewe Msaliti Ruttashobolwa nenda kaulize familia yako hayo maswali uchwara
Chadema hawataki maridhiano ya amani!!!
Lema na lissu wanakwenda tabora kesho
Dr.Iman Kondo,upo?Utahangaika sana mwaka huu,labda urudi kwenye kazi yako ya utabibu/nesi
Uchunguzi wa polisi!. Hivi ndugu akimuua ndugu yake hachukuliwi hatua?!. Kama CHADEMA wanauwana wenywe na kuchomeana ofisi wenywe kwa wenywe, Je aliyehusika ni dhambi kuchukuliwa hatua. Wananchi tunahitaji kuona watu waliohusika kuchama ofisi na mauaji wanafikishwa mahakamani.
dr.iman kondo,upo?utahangaika sana mwaka huu,labda urudi kwenye kazi yako ya utabibu/nesi
Hivi Mungi we si msemaji wa chadema arusha?
Hivi kama primary investigation inaonesha kuna dalili za nyie wenyewe kuhusika mlitaka wasiseme?
Hivi.mbona kwenye updates za mkutano boss wenu lema alisema mtakwenda?
Kwanini mkatae maridhiano ya amani? Hivi chadema mnataka vita?
Hivi kwanini chadema arusha mnajaribu kuvuruga amani ya nchi?
Hivi kwanini chadema arusha mmekuwa wasemaji wa chadema taifa?
Hakika kwa style hii hakuna mwananchi mwenye utinamu atawapa ridhaa ya kwenda ikulu.
Kwa hali ilivyo sasa ili nchi hidumu kwenye amani lazima chadema wakae mbali na ikulu.
Ni wazi chadema kama mgekuwa mnaongoza nchi mgewatupa wapinzani wenu mtoni.
Dr.W.Slaa kwanini chadema ina kataa amani?mnataka vita?
MSALANI anashindwa kutofautisha ccm na serikali.
Posho ni kodi za watanzania, siyo mali ya ccm
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums