Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.

vipi watoa mapovu, mbona kimya sana??? Mmeskia yaliyotokea huko karatu??? Nipo jikoni, niulizeni niwape vitu
Hivi magugu maji yapo hata nchi kavu? Unaposema wameanza kutoa mapovu, inamaana wamekula sabuni au una maana gani?
Mimi nipo Arusha, na unayosema sijayasikia.
umechoka kugongwa ukiwa umelala au siyo,vunja 7 ubadilishiwe pozi.UTALIKA 2 USIHOFU.Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.
umechoka kugongwa ukiwa umelala au siyo,vunja 7 ubadilishiwe pozi.UTALIKA 2 USIHOFU.