Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,221
- 1,788
Kama wewe ulivyokosa mvuto kwenye familia yako baada ya kuuza bandari?chadema imekosa mvuto kisiasa
mkuu kwanini umehusisha maswala ya familia hapa nduguKama wewe ulivyokosa mvuto kwenye familia yako baada ya kuuza bandari?
Kwanini Chadema unaidharirisha ndugu? Imekukosea Nini?mkuu kwanini umehusisha maswala ya familia hapa ndugu
ni wahujumu wa kila nyanjaKwanini Chadema unaidharirisha ndugu? Imekukosea Nini?
Mnatakiwa muelewe wazi kabisa kwamba CCM kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa kura na Mwananchi yoyote yule katika nchi hii. Eleweni Jambo hili tafadhalini sana.MKUTANO WA HADHARA
CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana.
Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na ufisadi katika jiji la Arusha
Wananchi wote mnakaribishwa!
Kwahiyo agenda za kikao ni ufisadi?MKUTANO WA HADHARA
CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana.
Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na ufisadi katika jiji la Arusha
Wananchi wote mnakaribishwa!
GoodMKUTANO WA HADHARA

Ulikuwa unashabikia humu kuwa Magufuli awakandamize kwasababu ni ngome ya Chadema.Arusha hakuna hata stendi kuu.
Huu mji pamoja na umaarufu wake unakandamizwa mno.
Mungu Ibariki CHADEMAMKUTANO WA HADHARA
CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana.
Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na ufisadi katika jiji la Arusha
Wananchi wote mnakaribishwa!
Sio kweli nilikua nakemea maandamano yaluyokua yanapoteza muda wa uzalishaji na kudumaza uchumi wa mkoa kwa kuufanya usiwe sehemu salama ya uzalishaji.Ulikuwa unashabikia humu kuwa Magufuli awakandamize kwasababu ni ngome ya Chadema.
Nini kimekukuta ndugu?
Stendi mpya inajengwa au huna taarifa?Arusha hakuna hata stendi kuu.
Huu mji pamoja na umaarufu wake unakandamizwa mno.
Walisahau ule msemo wa kutesa kwa zamu.Ulikuwa unashabikia humu kuwa Magufuli awakandamize kwasababu ni ngome ya Chadema.
Nini kimekukuta ndugu?
Nawaona Sukuma gangz wote wamekuwa wakosoaji wakubwa wa Raisi aliyepo wakati wao walikuwa wakiporomosha matusi ya nguoni kwa yeyote anaemkosoa Magufuliš¤£ bhagoosha!!Walisahau ule msemo wa kutesa kwa zamu.
Ulikuwa kimya wakati Lissu anashambuliwa kwa risasi na ulikuwa unamkingia kifua dikteta.Sio kweli nilikua nakemea maandamano yaluyokua yanapoteza muda wa uzalishaji na kudumaza uchumi wa mkoa kwa kuufanya usiwe sehemu salama ya uzalishaji.
Hoja walozokuwa wanahamasishana zinajibika bila vurugu.
Hili la bandari ni nyeti mno kwani linagusa maslahi ya Taifa kwa vizazi na vizazi.