CHADEMA: Anguko kanda ya ziwa mashariki

CHADEMA: Anguko kanda ya ziwa mashariki

wajinga wakubwa,mnataka tusiiongelee chadema kwa misingi ipi? After all mnaozungumza hampo maeneo haya,mnataka tusiseme ujinga unaofanyika ndani ya chadema? Huu ni ujinga na upuuzi,kwahyo issue ya kujadili ni ya ccm tu,chadema tusiseme? Stupid mind

Halafu angalia utaliwa kiboga na hao wanaokunywesha.......Hakunaga cha bure haba duniani...Niangalizo tuu nakupa..
 
chadema kama hujatoka
mikoa fulani hakuna uongozi ndiyo maana ukifuatilia kwa karibu viongozi
wa chadema ngazi ya vyo 99% wanatoka arusha na klm,jiulize ni kwa
nini

Ni rahisi sana kutambua akili iliyochanganyika na haja kubwa.
 
Si uende ukapike chakula kama una lolote,sio lazima uingie ndani humu. Huyo Masele alishinda kwa tofauti ya kura moja kama sio wizi ni nini??? Hata kupika ni kazi pia

Whats your point madam M? Cooking is a professional as well
 
Ni rahisi sana kutambua akili iliyochanganyika na haja kubwa.

JF imekosa uelekeo,mnataka kutupangia tuongee nini na tusiongee kitu gani,udhaifu wa chadema usiguswe?? Acheni kutukaririsha ujinga,siwezi kukariri upumbavu yeyote anayevurunda tumseme
 
wajinga wakubwa,mnataka tusiiongelee chadema kwa misingi ipi? After all mnaozungumza hampo maeneo haya,mnataka tusiseme ujinga unaofanyika ndani ya chadema? Huu ni ujinga na upuuzi,kwahyo issue ya kujadili ni ya ccm tu,chadema tusiseme? Stupid mind

Kwa comment hii wewe ndiye unaye-portray stupidity yako. Wewe unaambiwa weka facts lakini badala ya kufanya hivyo unasema watu ni wajinga na wapuuzi. Come on dude! Kubali kufundishika. Wewe hujui kuwa 'No research no right to speak? Weka data hapa za kuthibitisha unachosema hakuna atakayekupinga. Lakini ukileta maneno ya kuota ni lazima utapingwa tu.
 
JF imekosa
uelekeo,mnataka kutupangia tuongee nini na tusiongee kitu gani,udhaifu
wa chadema usiguswe?? Acheni kutukaririsha ujinga,siwezi kukariri
upumbavu yeyote anayevurunda tumseme

Tatizo umebandika habari isiyojitosheleza,weka habari na data ili tuijadili hoja yako lakini ukileta mashudu ndiyo watu watakujadili wewe yaani wewe kwa umburula wako ndiyo unageuka kuwa habari.
 
chadema kama hujatoka mikoa fulani hakuna uongozi ndiyo maana ukifuatilia kwa karibu viongozi wa chadema ngazi ya vyo 99% wanatoka arusha na klm,jiulize ni kwa nini
hata ukimwi kuna mahali ulipoanzia
 
Kinana anamaliza tembo wetu uwiii...mwigulu ni janga la taifa...sasa hivi mwigulu ndio katibu wa itikadi na uenezi wa chadema na ccm.
 
Akiki yako sawa ya kikwete rais wa wachofu wa tz, shame upon you. Chadeama haitaanguka milele.
Ccm na ujangili wao mwisho utashuhudia live

Sema Rais wetu Kikwete na wewe ukiwemo na familia yako nzima including mumeo

chadema kama hujatoka mikoa fulani hakuna uongozi ndiyo maana ukifuatilia kwa karibu viongozi wa chadema ngazi ya vyo 99% wanatoka arusha na klm,jiulize ni kwa nini

Nyongeza ya hapo, asilimia 98 ni wa kristo kuanzia ngazi ya chini kabisa mpaka taifa
 
wajinga wakubwa,mnataka tusiiongelee chadema kwa misingi ipi? After all mnaozungumza hampo maeneo haya,mnataka tusiseme ujinga unaofanyika ndani ya chadema? Huu ni ujinga na upuuzi,kwahyo issue ya kujadili ni ya ccm tu,chadema tusiseme? Stupid mind

Mbona povu jingi we mtoto? Hujapata wa kukukuna jioni ya leo? Jipitishe pitishe barabarani, hutakosa basha.
 
Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--

Thraed haina hoja wala source, kichwaq cha habari ni tofauti mna yaliyomo

CC Fang
 
Last edited by a moderator:
tutakupima dna kama akili zako ni za baba ako au ni za serukambwa na ma------
 
Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--
Khaa!! Naomba unijuze ziwa mashariki liko wapi? :bored:
 
Back
Top Bottom