- Thread starter
- #41
vichaa wasioitakia mema nchi hii ndio hushabikia chadema,hongereni kwa kulitambua hilo mimi kitambo sana
wameunda kanda ya ziwa mashariki,mkoa wa shinyanga,simiyu na musoma,wakatangaza nafasi ya katibu wa kanda,mratibu na dreva wa kanda kwa ajili ya M4C wakasema lazima wawe wakazi wa maeneo hayo wonderful enough wachaga walikuwa washapewa nafasi zamaniii,ndo maana kanda hii imekufa kabisa