CHADEMA angalieni uvunguni mwa kitanda

CHADEMA angalieni uvunguni mwa kitanda

Mkuu Sikonge upo sahihi sana!

Yaani nyie ndio full magamba,mbona jamaa kaeleza vizuri mtazamo wake! Kwani sio siri rwakatare anahitaji kujitetea vizuri ili hatimaye umma umwelewe na chadema pia wajipange kuhakikisha kashfa hii haihusishi chama vinginevyo namuona marehemu cuf anavyosukuma kaburi kurudi kwenye uhai.
 
Last edited by a moderator:
Yaani nyie ndio full magamba,mbona jamaa kaeleza vizuri mtazamo wake! Kwani sio siri rwakatare anahitaji kujitetea vizuri ili hatimaye umma umwelewe na chadema pia wajipange kuhakikisha kashfa hii haihusishi chama vinginevyo namuona marehemu cuf anavyosukuma kaburi kurudi kwenye uhai.
Teh teh teh!Gamba linapoipigia chapuu CUF!

Watanganyika siyo wajinga kiasi hicho,ni vema mjipange upya!
 
Jamani mleta uzi kaeleza tu hisia yake tayari mmeanza kusema gamba lipo kazini. Hayo ni mawazo yake tu. Mbona waswahili husema kikulacho ki nguoni mwako? kuna ubaya gani mtu asitoe hisia zake.

hilo ni gamba tu
 
Hatutaki ushauri kutoka magambas, yenu yanawashinda ya CDM mtayaweza!
 
Teh teh teh!Gamba linapoipigia chapuu CUF!

Watanganyika siyo wajinga kiasi hicho,ni vema mjipange upya!
S
Kweli sio wajinga kama ww ambae kazi yako ni kutete bila kutafakari
 
Kuna watu huwa hawatumii akili kufikiri mambo yanajieleza wazi kabisa harafu mtu mwingine anapiga mayowe Chadema Chadema
Hao Police ni wa Chadema?:shut-mouth:
FirstLady acheni kupotosha UMA, nani asiyejua kuwa hao polisi ni wachadema?
alivaa tu gwanda la kipolisi ila alitumwa na chadema, loh!
hata yule Rama wa ikulu aliyemshambulia Dr.Ulimboka ni chadema, hata mwakyembe alisema hana imani na polisi wa chadema.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu huwa hawatumii akili kufikiri mambo yanajieleza wazi kabisa harafu mtu mwingine anapiga mayowe Chadema Chadema
Hao Police ni wa Chadema?:shut-mouth:

Mkuu FirstLady hivi CHADEMA haina wapenzi ndani ya Jeshi la Polisi yaani individuals ndani ya jeshi hilo?
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu huwa hawatumii
akili kufikiri mambo yanajieleza wazi kabisa harafu mtu mwingine
anapiga mayowe Chadema Chadema
Hao Police ni wa Chadema?:shut-mouth:

Chadema ndio walikuwa wanashindana ubavu na Polisi ilihali wenzao wanzao wana Chamoto
 
Majibu ya maswali milioni yamekaa kimtego mtego kila ukijaribu kupata jibu la swali moja swali jingine linajitokeza, Zitto? Ben Saanane,Mwampamba? Lwakatare? unganisha dots hapo utapata jibu la jumla kuwa mchezo hapo upo ndani ya chama wengine wanasingiziwa (CCM, Polisi .TISS) tu kuondoa attention. Ushauri kwa CHADEMA swala ili msilichukulie kichwa kichwa mjichunguze pia ndani ya chama kwanina vyojua unapoweka mikakati weakness part yako ni muhimu kuitambua ili iwe strength kwenye utekelezaji na CHADEMA kwa hakika kuna kitu ndani ya chama hakipo sawa.

Nafikiria tu loudly labda Zitto ndio tatizo ndani ya CHADEMA? Tatizo lake nini hasa? Je ni nia yake ya kugombea uenyekiti kwenye uchaguzi uliopita? Au nia yake aliyotangaza ya kugombea Urais? Pengine Slaa ndio tatizo? Mtanzania mwenzangu tafakari kwa makini kwani matatizo haya yanatuathiri wote,watu wanaumizwa,wengine wanauawa(?).

Tamaa ya watanzania kupata muelekeo mpya wa kiuchumi kupitia cdm inatoweka taratibu hili kwangu mimi ni tatizo kubwa zaidi nilitamani sana mawazo mapya ambayo yatatutoa kwenye umaskini usio na sababu na kutuweka juu kiuchumi kwenye ramani ya Dunia kwani kila kitu tunacho isipokuwa siasa safi,ambayo nilitegemea kuipata toka CHADEMA, lakini wapi kila siku tukio hasi. CHADEMA tafadhali tuchukueni hatua na msafishe nyumba yenu.TENGENEZENI AMANI NA KUAMINIANA

Ngoja nikuambie udhaifu (unafiki?) wako. Mabadiliko sio lazima yaletwe na Chadema. Hata watu walio ndani ya CCM leo wakitaka kuubana utawala wa sasa mabadiliko yatapatikana tu. Hivyo bila kujali chama, watanzania tukiungana wote kwa pamoja na kuanza kudai mabadiliko katika hii serikali dhaifu watabadilika tu. Tuache ile tabia ya kukaa sebuleni kwenye kochi na kuangalia watu wengine wakipigania haki zetu kama tunavyoangalia sinema.
 
Mhhhh....

11971226261305296093valessiobrito_Hoof_of_Green_Turtle.svg.hi.png

Ulichokiandika kinakiuka misingi ya KATIBA YA JMT ya mwaka 1977. Uwaombe radhi kama huwezi kumtaja mtu kwa jina!Tatizo la baadhi ya watu ndani ya JF ni kupelewa na busara...Usiwe m1 wao...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom