CHADEMA angalieni uvunguni mwa kitanda

CHADEMA angalieni uvunguni mwa kitanda

Chadema hawashauriki kwa sababu wana agenda za siri...

Kabla haujaiingiza CHADEMA kwenye kushaurika,viongozi wetu waliopo madarakani kwao ushauri haupo hata kwenye kamusi.Na ndio maana tupo hapa tulipo.
 
Israeli umenirudisha tena kwenye kilio maana hii picha inatisha. Hapa ninako ishi nje ya nchi niliwaonyesha maana siku zote wazungu wanasema Tanzania ni nchi yenye amani ila niliwaambia wasahau walinibishia katu. Nilichofanya nikuchukua ile doc iliyokuwa inaonyesha policcm wanavyowaua watu ikiwemo hii hapa. Na kilichowasikitisha ni pale walipokuwa wakiwapiga wale wanafunzi wa shule kwa sababu tuu wanadai haki zao. Ivi hii doc unavyosambazwa na watu mbalimbali nchi mbalimbali awamu hii yauongozi ikimaliza muda wake itasalimika. Tusubiri tuone yetu macho
Hapo kwenye blue,
Hebu tuache porojo na tuangalie ukweli wa mambo ulivyo.
Hebu angalia picha hizi hapa kuhusu mauaji halafu useme kama tatizo ni Dr. Slaa au Polisi !!
Unakumbuka picha hizi ???
attachment.php
 
Kwani nikiandika "Mhhhh...." maana yake ni nini? Mie nafahamu maana yake ni kuguna. Naona umechanganya madudu.
Ulichokiandika kinakiuka misingi ya KATIBA YA JMT ya mwaka 1977. Uwaombe radhi kama huwezi kumtaja mtu kwa jina!Tatizo la baadhi ya watu ndani ya JF ni kupelewa na busara...Usiwe m1 wao...
 
Majibu ya maswali milioni yamekaa kimtego mtego kila ukijaribu kupata jibu la swali moja swali jingine linajitokeza, Zitto? Ben Saanane,Mwampamba? Lwakatare? unganisha dots hapo utapata jibu la jumla kuwa mchezo hapo upo ndani ya chama wengine wanasingiziwa (CCM, Polisi .TISS) tu kuondoa attention.]

Kweli bana
 
Angalia ushauri huu hapa toka kwa 'bosi' wenu wa kampeni za ghasia dhidi ya Chadema.
Huyu anaitwa Willian Malecela (Le Mutus).
Soma hapa jinsi anavyoendesha 'Operation Chaos' (yaani operasheni ya ghasia).
Unajua kusoma ??
Basi soma hapa !!!!

ZeMarcopolo, majebere, na Lucho mpo hapo ??


@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
MU-ISRAELI Mimi binafsi nakukubali sana,yani uko makini,ukitoa kitu unaweka na evidence,inayokata maini. hongera kaka keep it up.
 
Hapo kwenye blue,
Hebu tuache porojo na tuangalie ukweli wa mambo ulivyo.
Hebu angalia picha hizi hapa kuhusu mauaji halafu useme kama tatizo ni Dr. Slaa au Polisi !!
Unakumbuka picha hizi ???
attachment.php
Hivi mbona mnapenda sana kutumia picha ya marehemu mwangosi kwenye siasa zenu?
Hamjui kuwa mnawatonesha wafiwa?
Angekuwa baba yako ndio huyu ungependa icha yake iwe inatembezwa humu ? manake naona sasa mijitu mingine kilka thread inaleta tu hizi picha au ndio siasa zenu? ndio maana mlitaka kumfanya kibvanda kafara nyingine?
Nasikia mnataka kufanya fujo maandamano ya tarehe 25 ili afe mwingine mpate picha nyingine ya kutembeza
 
Majibu ya maswali milioni yamekaa kimtego mtego kila ukijaribu kupata jibu la swali moja swali jingine linajitokeza, Zitto? Ben Saanane,Mwampamba? Lwakatare? unganisha dots hapo utapata jibu la jumla kuwa mchezo hapo upo ndani ya chama wengine wanasingiziwa (CCM, Polisi .TISS) tu kuondoa attention. Ushauri kwa CHADEMA swala ili msilichukulie kichwa kichwa mjichunguze pia ndani ya chama kwanina vyojua unapoweka mikakati weakness part yako ni muhimu kuitambua ili iwe strength kwenye utekelezaji na CHADEMA kwa hakika kuna kitu ndani ya chama hakipo sawa.

Nafikiria tu loudly labda Zitto ndio tatizo ndani ya CHADEMA? Tatizo lake nini hasa? Je ni nia yake ya kugombea uenyekiti kwenye uchaguzi uliopita? Au nia yake aliyotangaza ya kugombea Urais? Pengine Slaa ndio tatizo? Mtanzania mwenzangu tafakari kwa makini kwani matatizo haya yanatuathiri wote,watu wanaumizwa,wengine wanauawa(?).

Tamaa ya watanzania kupata muelekeo mpya wa kiuchumi kupitia cdm inatoweka taratibu hili kwangu mimi ni tatizo kubwa zaidi nilitamani sana mawazo mapya ambayo yatatutoa kwenye umaskini usio na sababu na kutuweka juu kiuchumi kwenye ramani ya Dunia kwani kila kitu tunacho isipokuwa siasa safi,ambayo nilitegemea kuipata toka CHADEMA, lakini wapi kila siku tukio hasi. CHADEMA tafadhali tuchukueni hatua na msafishe nyumba yenu.TENGENEZENI AMANI NA KUAMINIANA

We lodilofa kweli, je kama hizo habari hasi za kila siku ni propaganda na mapandikizi yaletwayo na hao hao ccm? uwe unakaa kimya kama huna la kuongea. kwa tulio analyse politics hatushangai kuona upuuzi kama huu wa kuzushia chadema kila kukicha. CC NI ZAIDI YA MAFIA KAMA HUJUI. WANA KILA AINA YA SILAHA ZA MAANGAMIZI YA KILE WASICHOKITAKA. MORAL AND MATERIAL WEAPONS ZIMEJAA KWA HAWA MAFIA CCM. KWELI SIWAPENDI WAO NA VIZAZI VYAO VILIVYOJAA UFITINI
 
Hivi mbona mnapenda sana kutumia picha ya marehemu mwangosi kwenye siasa zenu?
Hamjui kuwa mnawatonesha wafiwa?
Angekuwa baba yako ndio huyu ungependa icha yake iwe inatembezwa humu ? manake naona sasa mijitu mingine kilka thread inaleta tu hizi picha au ndio siasa zenu? ndio maana mlitaka kumfanya kibvanda kafara nyingine?
Nasikia mnataka kufanya fujo maandamano ya tarehe 25 ili afe mwingine mpate picha nyingine ya kute mbeza

Hapo kwenye blue,
Jiulize wewe na waulize polisi hao hapo kwenye picha maswali yafuatayo:-
  • Walipomuua Daudi Mwangosi, kulikua na fujo gani ??
  • Daudi Mwangosi alifanya fujo gani mpaka akauwawa ??
  • Daudi Mwangosi alikuwa mwana siasa ??

Najua mnatamani sana picha hizi zisionekane hadharani, lakini umeumbuka sana safari hii !!

Kumbuka siku zote damu mliyomwaga itawafuata
wewe na wauaji wote unaowatetea katika maisha yenu yote na vizazi vyenu vyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom