Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

Balozi mwenyewe ni njaa tu inampeleka huko wakati moyo wake uko chadema bado. Pole sana ndugu yangu njaa haina adabu.
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Ziro brain ulichokiandika wala hukielewi
 
Uzuri wa chadema kelele zenu humu zitakoma jpili halafu mtarukia hoja ingine
 
Kiburi si uungwana, si Umeona chamtema kuni walichokipata?, mbaya zaidi nyumbu ndo wamesagwa vibaya, Mbowe, Mnyika Salum Mwalimu, Mdee shwarii!. Watajitambua siku parapanda likilia
Kwa hiyo hapo unaona raha kabisa.Kweli umasikini ugonjwa mbaya sana
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Hayo magoti utayapiga wewe na familia yako, mimi siwezi kumpigia magoti binadamu kama mimi.
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
wewe ni kati ya wapumb...u wachache msio na hoja mliobaki lumumba,Mnashindwa kupambana kutafuta ushindi kwa halali mnasubiria goli la mkono kwa ufadhiri wa vyombo vya dola ambavyo si mali ya ccm ni mali ya watanzania wote.Mnafikiri chadema walivyo amua kurudi kwenye chaguzi walirudi kama mazombi?walijjua mnawapiga wapi.Eti kwa magu kila goti litapigwa?utapiga wewe na husband wako.magu siyo mungu wetu ni rais wetu, kama amechagua kumwaga damu kwenye utawala wake itamwagika lakini atailipa.
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Tafakarini na kufikiri kwa kina kabla ya kuandika, umeandika nini?????? WALAUMU HAO VIONGOZI WALIOPEWA DHAMANA NA WANAZITUMIA VIBAYA, WE ULITAKA WALIE KAMA CHAGUZI ZA MERU NA ARUSHA????? MBAAAAAVUUUUU
 
Jamani mimi ninaona sisi watanzania kama vile tuna macho lakini hatuoni, hivi inawezekana vipi mkurugenzi ambaye amechaguliwa na president ambaye ni mwenyekiti wa chama kwenda kusimamia kwa haki uchaguzi ambao chama chake kinashindana na akatenda haki? Hili ndilo tatizo la msingi kushughulikiwa kabla ya yote.
Mambo kama haya ndio yanayosababisha watu ambao wanaakili timamu kama congo wanapigana kila siku kwasababu hawataki kuona sinena za kijinga kama hizi.
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.

"Kwa magu kila goti litapigwa" ili mpate nini sasa kupiga hlo goti kwa magu?
 
Huu upumbavu peleka Lumumba. Hivi huyo anayeitwa Mkurugenzi angewapa form kama alivyofanya kwa wakala wa CCM angekufa .CCM kubalini tu hampendwi acheni kuua watu .Leo tu mmeua watu wanne kisa form. SHAME ON YOU
Kwahiyo ukinyimwa fomu ndio uandamane? Halafu kosa la kuandamana bila kibali litafunikwa na la kunyimwa fomu?
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Umeandika uharo tupu ilitakiwa umwandikie DED wa ccm kino,kura labda mkaibe kule nyumbani kwa mwenyekiti wenu kesho mtazaa kwa uchungu
 
Hivi na wewe mtoa uzi wazazi wako wanajivunia wana mtoto mwenye akili timamu? Ilipokuwa NCCR Mageuzi wana nguvu mliwaandika wanataka kuliletea maangamizi Taifa, CUF ilipopata nguvu mkawa mnatoa hadi mapanga mkidai chama cha cuf kimeagizia. Kimeingia CHADEMA mnaanza propaganda zenu.

Awamu hii CHADEMA haitapotea kwenye anga la siasa za Tanzania. Kama hayakuwa maandamano halali mbona wametoa karatasi za viapo kwa mawakala.

Kesho lazima Kinondoni atangazwe Salum Mwalim iwe mvua iwe jua.

Pipooooooooooz.
Mku kujitoa akili kwake ndiyo anapata ujira wake kujipendekeza kwake ndio tumbo lipate kushiba
 
Most of CCM ni njaa, hasa vijana wadogo ambao wanajua kichwani hawana kitu ko CCM ndio mlango wa kutokea,
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Huo utumbo waambie wajinga wenzio. Unazuia maandamano kwa sheria ipi na katiba ipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom