Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Moderator usifute huu uzi tunaijuwa chadema kinyume nyume huyo mgombea wao pale chuo fulani alisababishia watu majanga makubwa sana yeye akijifanya mwanaharakati kumbe yupo kwenye payral ya chadema nani asie juwa huu ujinga.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
wewe na upuuzi wako wa ccm tnajua maandamano ni haki ya kikatiba najua mmezidiwa mbaya mmepagawa sana hao polisi tutpambana nao kesho
 
Kiburi si uungwana, si Umeona chamtema kuni walichokipata?, mbaya zaidi nyumbu ndo wamesagwa vibaya, Mbowe, Mnyika Salum Mwalimu, Mdee shwarii!. Watajitambua siku parapanda likilia
MTU akiingia tu huko,basi anageuka na kuwa limtu,na kama alikuwa msomi basi anageuka na kuwa zero kichwani.halafu mingine mikubwa lakini si riziki.
 
Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.
Hebu twende taratibu...je, unaweza kuitaja/kuinukuu hiyo sheria inayotamka kwamba maandamano yanahitaji kibali? Tuanzie hapo kwanza.
 
Kiburi si uungwana, si Umeona chamtema kuni walichokipata?, mbaya zaidi nyumbu ndo wamesagwa vibaya, Mbowe, Mnyika Salum Mwalimu, Mdee shwarii!. Watajitambua siku parapanda likilia
ko hicho walichopat kwako n furaha ila tambua dunia sote ni wapitaji 2 iwe askari au rais mavumbini tutarudi 2
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Moderator usifute huu uzi tunaijuwa chadema kinyume nyume huyo mgombea wao pale chuo fulani alisababishia watu majanga makubwa sana yeye akijifanya mwanaharakati kumbe yupo kwenye payral ya chadema nani asie juwa huu ujinga.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.
Umeshindwa kuilosoa CCM inayotuiibia kila siku una akili wewe?

Kaa kimya na unafiki wako.
 
Historia itamhukumu magufuli kwa haya aliyoyaleta Tanzania kwa kua sasa mchicha unakua yaani ameona aige ya Rwanda na Burundi na Ethiopia.kiukweli Magufuli hakujiaandaa kuwa rais wa watanzania kwa kua Tanzania ilikua inaheshimika sana kimataifa kulinganisha na nchi nyingine za Africa,sasa anatupeleka kwenye unyama

Kuna watu wanashangilia huu upuuzi. Historia haidanganyi. Visasi vinarithishwa generation mpaka 5.
 
Kwi kwi kwi kwi LoL! Imebidi nicheke tu nilidhani ameandika BAK. Ahsante sana Tetty.

Huu upumbavu peleka Lumumba. Hivi huyo anayeitwa Mkurugenzi angewapa form kama alivyofanya kwa wakala wa CCM angekufa .CCM kubalini tu hampendwi acheni kuua watu .Leo tu mmeua watu wanne kisa form. SHAME ON YOU
 
Chadema mipango yenu sio mizuri kwa taifa nihatari kuliko kukutana na magaidi wanao jitoa muhanga.

Kama umeambiwa huna kibali chakuandama wewe kwa akili timamu unakusanya watu nakusema waandamane huo ni ujinga kama sio uhaini.

Moderator usifute huu uzi tunaijuwa chadema kinyume nyume huyo mgombea wao pale chuo fulani alisababishia watu majanga makubwa sana yeye akijifanya mwanaharakati kumbe yupo kwenye payral ya chadema nani asie juwa huu ujinga.

Kile chadema wanakifanya chini ya mwamvuli wa democrasia siku waweza kuwa uhaini. Kwanini kama chadema ni chama kweli cha siasa wasitumie njia stahiki kutafuta haki kwanini chama hiki kitumie maandamano yasio halali wapige picha nakuzirusha vyombo vya nje hiki ni chama ama ni kundi lawahalifu?

Mambo yanatishasana ila kwa Magu kila goti litapigwa na hao wanao fikiri sheria itawaonea huruma wakumbuke hujuma huzimwa kwa hujuma ujinga hatutaki.
Madhara yanawapata watanzania kwa tamaa zenu za madaraka lazima mfike mahali mkutane nakibao Stop.
Inatosha.

Acha unaa wewe!! Magu tunamheshimu kama Rais wa nchi, ni mwanadamu mwenye mwili wa nyama kama wewe. Hivyo kwa Magu sio kila goti litapigwa, ni mwanadamu na kamwe siwezi msujudia mwanadamu mwenzangu. Watasujudu wasiojitambua au wanaolazimishwa na mazingira kufanya hivyo ILA sio werevu na wenye hekima wa nchi hii!!

Watakiwa kujua kuwa Mh. Rais ni boss wetu aliyeajiriwa na wananchi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, anatakiwa kuwajibika kwa wapiga kura wake, hata ikitokea akateleza anatakiwa awajibishwe na umma kwa sanduku la kura au kupitia wawakilishi wao bungeni.
 
Wajinga ni hao wanaosababisha haya kutokea.

Kwa nini mnanyima mawakala wa Chadema barua za utambulisho?

Mnadhani hao wanaoozidai na kuamua kwenda hadi ofisini ni wendawazimu?

Acheni ujinga ninyi na NEC yenu.
Wanafanya makusudi ili ionekane chadema wakorofi
 
Hivi na wewe mtoa uzi wazazi wako wanajivunia wana mtoto mwenye akili timamu? Ilipokuwa NCCR Mageuzi wana nguvu mliwaandika wanataka kuliletea maangamizi Taifa, CUF ilipopata nguvu mkawa mnatoa hadi mapanga mkidai chama cha cuf kimeagizia. Kimeingia CHADEMA mnaanza propaganda zenu.

Awamu hii CHADEMA haitapotea kwenye anga la siasa za Tanzania. Kama hayakuwa maandamano halali mbona wametoa karatasi za viapo kwa mawakala.

Kesho lazima Kinondoni atangazwe Salum Mwalim iwe mvua iwe jua.

Pipooooooooooz.
Power yameshikwa pabaya now yamebaki kulialia tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom