CHADEMA acheni chokochoko, msilete siasa kwenye maafa

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
CHADEMA wanapenda kutafuta attention,wakati Rais hajarudi au kabla ya hapo hawakupanga kuwatembelea wahanga wa mafuriko Katesh, Rais katoka Dubai na wao wanapanga tarehe hiyo hiyo kwenda Katesh! Kama siyo chokochoko na kutafuta attention ni nini?

Walikuwa hawana mpango baada ya kuwakosoa humu nao wanapanga ratiba sawa na Rais, Hivi Rais aende na wao waende na magwanda kama siyo kuleta ushabiki wa kisiasa na vurugu ni nini? Basi hata wangemtuma mwakilishi.

Kila kinachofanyika CHADEMA lazima walete siasa, sasa wameanza kutaka huruma kwamba wamezuiliwa, ratiba ya Rais na nye pia hapo hapo? Vyombo vya ulinzi vilifanya jambo la maana kuliko kuleta fedheha kwenye jambo nzito hii

Pia soma > CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa
 
Hawakua na mpango wewe unajua mipango ya ndani ya Chadema? Usilete unazi kama wa Simba na Yanga,hili ni janga limetupata wote kama Watanzania tushikane mikono tuache hizi cheap politics za kishamba.
Kwenye mikutano ya rais au hata bungeni lini wamekuwa na staha wanaanza maneno ya kejeli hapo hapo...usingeshangaa kuona wakitoa maneno ya kashfa hapo hapo mbele ya rais kwamba mafuriko ni uzembe wa serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe shabikia Simba tu huku wachie wenye akili timamu. Unaleta ramli chonganishi kama wale wenzako wa Div IV ya point 32. Wacha hizo.
 
CHADEMA wanapenda kutafuta attention,wakati Rais hajarudi au kabla ya hapo hawakupanga kuwatembelea wahanga wa mafuriko Katesh, Rais katoka Dubai na wao wanapanga tarehe hiyo hiyo kwenda Katesh! Kama siyo chokochoko na kutafuta attention ni nini?

Walikuwa hawana mpango baada ya kuwakosoa humu nao wanapanga ratiba sawa na Rais, Hivi Rais aende na wao waende na magwanda kama siyo kuleta ushabiki wa kisiasa na vurugu ni nini? Basi hata wangemtuma mwakilishi.

Kila kinachofanyika CHADEMA lazima walete siasa, sasa wameanza kutaka huruma kwamba wamezuiliwa, ratiba ya Rais na nye pia hapo hapo? Vyombo vya ulinzi vilifanya jambo la maana kuliko kuleta fedheha kwenye jambo nzito hii

Sent using Jamii Forums mobile app
SAMIA ALISEMA STUPID, UMEONA HILO KATIKA MATATIZO YOTE YA WATANGANYIKA.
TATIZO LAKO UNAMUONA SAMIA ZAIDI YA MUNGU , ZZAIDI YA BABA YAKO NA ZAIDI YA MAMA YAKO
 
Samia namheshimu kama Rais,huwezi kwenda kwenye mkutano wa Rais ili upate attention na kupenyeza agenda zako,kila kitu ina protocols

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA wanapenda kutafuta attention,wakati Rais hajarudi au kabla ya hapo hawakupanga kuwatembelea wahanga wa mafuriko Katesh, Rais katoka Dubai na wao wanapanga tarehe hiyo hiyo kwenda Katesh! Kama siyo chokochoko na kutafuta attention ni nini?

Walikuwa hawana mpango baada ya kuwakosoa humu nao wanapanga ratiba sawa na Rais, Hivi Rais aende na wao waende na magwanda kama siyo kuleta ushabiki wa kisiasa na vurugu ni nini? Basi hata wangemtuma mwakilishi.

Kila kinachofanyika CHADEMA lazima walete siasa, sasa wameanza kutaka huruma kwamba wamezuiliwa, ratiba ya Rais na nye pia hapo hapo? Vyombo vya ulinzi vilifanya jambo la maana kuliko kuleta fedheha kwenye jambo nzito hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uadui kati ya Mbowe na Samia hadi waogopane kukutana kwenye majanga au misiba? Linapotokea jambo lisilo la kawaida hakuna ajabu viongozi wa kisiasa kukutana uso kwa uso. Uadui mnautengeneza nyinyi na siku moja utawagharimu na siasa zenu za kishamba.
 
Back
Top Bottom