CHADEMA acheni chokochoko, msilete siasa kwenye maafa

Kuna uadui kati ya Mbowe na Samia hadi waogopane kukutana kwenye majanga au misiba? Linapotokea jambo lisilo la kawaida hakuna ajabu viongozi wa kisiasa kukutana uso kwa uso. Uadui mnautengeneza nyinyi na siku moja utawagharimu na siasa zenu za kishamba.
Hakuna anayetengeneza uadui,ndo maana kuna wengine hawaitwi kwenye vikao kwasababu ni waropokaji na kuleta taharuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais ni kama wewe hana tofauti na wewe. ni mtumishi wako, umemuajili wewe, , akili zako ziweke sawa!
Hivyo unavyomona ndo mi navyomwona, ni mtumishi wangu, na yuko pale kwa kura yangu, lakini haileti haifai kutafuta kujulikana kwenye matatizo,maana hao chadema wanatafuta attention,mda wote walikuwa wapi hadi wapange ratiba sawa na Rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna anayetengeneza uadui,ndo maana kuna wengine hawaitwi kwenye vikao kwasababu ni waropokaji na kuleta taharuki

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kutokujiamini tu kwa CCM, lakini ktk matatizo kama haya Viongozi wanapaswa kuonyesha mshikamano badala ya matengano. Tangu Makonda arudishwe kundini, siasa za kipuuzi za Mwendazake zinajichomoza kwa kasi ya 5G.
 
CHADEMA wanapenda kutafuta attention,wakati Rais hajarudi au kabla ya hapo hawakupanga kuwatembelea wahanga wa mafuriko Katesh, Rais katoka Dubai na wao wanapanga tarehe hiyo hiyo kwenda Katesh! Kama siyo chokochoko na kutafuta attention ni nini?

Walikuwa hawana mpango baada ya kuwakosoa humu nao wanapanga ratiba sawa na Rais, Hivi Rais aende na wao waende na magwanda kama siyo kuleta ushabiki wa kisiasa na vurugu ni nini? Basi hata wangemtuma mwakilishi.

Kila kinachofanyika CHADEMA lazima walete siasa, sasa wameanza kutaka huruma kwamba wamezuiliwa, ratiba ya Rais na nye pia hapo hapo? Vyombo vya ulinzi vilifanya jambo la maana kuliko kuleta fedheha kwenye jambo nzito hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sheria ipi inayosema rais akienda sehemu fulani watu wengine hawatakiwi kwenda kwanini mnaigopa sana chadema wakati chadema mnasema imekufa mnaogopa aibu kwamba mmeona raia wengi watakua na mboe mnaficha aibu
 
Wazee wanamsemo unasema "Siasa ni Mchezo mchafu".

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kwa sheria ipi inayosema rais akienda sehemu fulani watu wengine hawatakiwi kwenda kwanini mnaigopa sana chadema wakati chadema mnasema imekufa mnaogopa aibu kwamba mmeona raia wengi watakua na mboe mnaficha aibu
Hiyo ndo mentality ya chadema kwamba tukipanga mda na Rais watu wengi watakuwa na Mbowe ili kuvuruga agenda ya serikali, kwahiyo chadema inatafuta kiki kwenye mikutano ya Rais

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kutokujiamini tu kwa CCM, lakini ktk matatizo kama haya Viongozi wanapaswa kuonyesha mshikamano badala ya matengano. Tangu Makonda arudishwe kundini, siasa za kipuuzi za Mwendazake zinajichomoza kwa kasi ya 5G.
Lakini chadema wana michezo michafu kwenye siasa kupush agenda zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndo mentality ya chadema kwamba tukipanga mda na Rais watu wengi watakuwa na Mbowe ili kuvuruga agenda ya serikali, kwahiyo chadema inatafuta kiki kwenye mikutano ya Rais

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu nililoku uliza kwa sheria ipi inayosema rais akiwa sehemu fulani watu wengine hawaruhusiwi kwenda nyinyi si mnasema chadema imekufa sasa khofu yenu nini
 
CHADEMA wanapenda kutafuta attention,wakati Rais hajarudi au kabla ya hapo hawakupanga kuwatembelea wahanga wa mafuriko Katesh, Rais katoka Dubai na wao wanapanga tarehe hiyo hiyo kwenda Katesh! Kama siyo chokochoko na kutafuta attention ni nini?

Walikuwa hawana mpango baada ya kuwakosoa humu nao wanapanga ratiba sawa na Rais, Hivi Rais aende na wao waende na magwanda kama siyo kuleta ushabiki wa kisiasa na vurugu ni nini? Basi hata wangemtuma mwakilishi.

Kila kinachofanyika CHADEMA lazima walete siasa, sasa wameanza kutaka huruma kwamba wamezuiliwa, ratiba ya Rais na nye pia hapo hapo? Vyombo vya ulinzi vilifanya jambo la maana kuliko kuleta fedheha kwenye jambo nzito hii

Pia soma > CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa
Lini CHADEMA wameanza kupanga ofisi moja na raisi?
 
Wewe chawa naomba nikuulize swali. Chama Cha siasa Cha kwanza kutoa Salam za pole kilikuwa kipi?
 
CHADEMA wanapenda kutafuta attention,wakati Rais hajarudi au kabla ya hapo hawakupanga kuwatembelea wahanga wa mafuriko Katesh, Rais katoka Dubai na wao wanapanga tarehe hiyo hiyo kwenda Katesh! Kama siyo chokochoko na kutafuta attention ni nini?

Walikuwa hawana mpango baada ya kuwakosoa humu nao wanapanga ratiba sawa na Rais, Hivi Rais aende na wao waende na magwanda kama siyo kuleta ushabiki wa kisiasa na vurugu ni nini? Basi hata wangemtuma mwakilishi.

Kila kinachofanyika CHADEMA lazima walete siasa, sasa wameanza kutaka huruma kwamba wamezuiliwa, ratiba ya Rais na nye pia hapo hapo? Vyombo vya ulinzi vilifanya jambo la maana kuliko kuleta fedheha kwenye jambo nzito hii

Pia soma > CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa
Kwani hao Chadema Ni chama Cha Nini km siyo siasa. Kazi yao ni nini km siyo siasa.

Kaa kwa kutulia huzijui karata za siasa.
 
Vijana punguzeni bangi msijekuwa Kama huyu mwenzenu. CHADEMA ilipokaa kimya mkasema haiwajali watu wa Katesh ilipoamua kwenda Katesh mnadai ni chokochoko la kisiasa.
 
CHADEMA wanapenda kutafuta attention,wakati Rais hajarudi au kabla ya hapo hawakupanga kuwatembelea wahanga wa mafuriko Katesh, Rais katoka Dubai na wao wanapanga tarehe hiyo hiyo kwenda Katesh! Kama siyo chokochoko na kutafuta attention ni nini?

Walikuwa hawana mpango baada ya kuwakosoa humu nao wanapanga ratiba sawa na Rais, Hivi Rais aende na wao waende na magwanda kama siyo kuleta ushabiki wa kisiasa na vurugu ni nini? Basi hata wangemtuma mwakilishi.

Kila kinachofanyika CHADEMA lazima walete siasa, sasa wameanza kutaka huruma kwamba wamezuiliwa, ratiba ya Rais na nye pia hapo hapo? Vyombo vya ulinzi vilifanya jambo la maana kuliko kuleta fedheha kwenye jambo nzito hii

Pia soma > CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa
Kuna baba mmoja alikua anarudi nyumbani usiku saa tano, mke akalalamika , jamaa akaamua kurudi saa 3 bado mke alalamika anachelewa. Jamaa akaamua kurudi saa 1, alipofika nyumbani mke akamuuliza imekuaje leo umerudi mapema hivi. Kuna Nini!

Jamaa akamzabua mke makofi, nikichelewa maneno, nikiwahi maneno. Unataka Nini wee mwanamke?
 
Tuache ushabiki kwenye ukweli, CHADEMA hawakupaswa kupanga ziara siku ya ziara ya Mkuu wa Nchi eneo Hilo Hilo. PERIOD
 
Yan logic Yako kwamba pahala rais yupo atupaswi wananchi tuwepo SI ndio basi tupelekeni Burundi uku tz akae rais peke yake
 
Back
Top Bottom