Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,397
- 25,091
Hujui hata maana ya ujinga mshamba wewe. Miaka 62 baada ya uhuru hamna hata vifaa vya uokoaji vya kisasa?Chadema ni kundi la wajinga haijapata kutokea duniani
Wewe bado unajiona mjanja kuendelea kuwaamini?
Jinga sana. Umeona ma v8 yaliyopo kule ? Yanalingana na hali halisi za wale wahanga kiuchumi?
Unafikiri adui wa nchi hii ni chadema? Walishawahi kuongoza nchi hii?