Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,339
- 5,663
Kama Yale majizi yanayoonyeshwa na CAG kila mwaka na hayakamatwi.Chadema ni kundi la wajinga haijapata kutokea duniani
Kama Yale majizi yanayoonyeshwa na CAG kila mwaka na hayakamatwi.Chadema ni kundi la wajinga haijapata kutokea duniani
Kama Yale majizi ya kura yasiyotaka tume huru.
Kama wengine ni wajinga basi msinung'unike kuzuiwa,uhuni uhuni uhuni lazima mzuiwe msipige kelele maana hambadilikiCHADEMA hawamtemekei Samiah Kama wewe unavyomtetemekea ndio maana waliamua ratiba yao bila kuangalia ratiba za wajinga wengine zikoje.
Basi mwacheni mtumishi wa raia afanye kazi zake siyo popote anapoenda mpeleke pua zenu kuharibu,kwani ilishindikana nini msiende kabla au baada ya leoChokochoko ipo wapi wewe? Tatizo mnamuabudu Rais kupitia kiasi mpaka mnawashangaa wanaomchukulia poa. Amkeni acheni uzezeta. Rais ni mtumishi wa raia. So Raia ndio Boss.
Mbona wamefika na wametembelea wahanga wala hakuna fujo iliyotokea? Kwanini unapenda kukariri ujinga wa machawa? Hivi uliona sawa kwenye msiba mkubwa kama huu mnafanya tafrija ya kumsifia rais hivi akili zenu zinaishi vichwani kweli au kwenye maungo mengine ya miili yenu? Na mkapeleka wasanii kabisa kusifia eti mama kaacha vinono Arabuni.Basi mwacheni mtumishi wa raia afanye kazi zake siyo popote anapoenda mpeleke pua zenu kuharibu,kwani ilishindikana nini msiende kabla au baada ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana wameruhusiwa baada ya rais kupita, jana asubuhi mlipost humu viongozi wa serikali wameenda na sare za chama,mara pap! Kundi la mbowe nao na magwanda.Mbona wamefika na wametembelea wahanga wala hakuna fujo iliyotokea? Kwanini unapenda kukariri ujinga wa machawa? Hivi uliona sawa kwenye msiba mkubwa kama huu mnafanya tafrija ya kumsifia rais hivi akili zenu zinaishi vichwani kweli au kwenye maungo mengine ya miili yenu?