OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,244
- 103,937
Wanatishia nyau tu haoHapo Dodoma yawezekena yakatokea machafuko makubwa sana kama tahadhari haitachukuliwa ikizingatiwa UVCCM nao wamejigamba kwamba hawatavumilia wenzao wa BAVICHA kukanyaga viwanja vya Whitehouse.
Mkuu kosa gani kuniita mbwa? z'bar inawakazi mil.1.5 kwa sensa ya mwaka 2012,wewe idad ya laki 5 ni wapiga kura kwa mwaka jana,your are not current at all! acha kutukana mtu usiyemjua,nimekusamehe bure.Zumbukuku wewe usiongee bila kuwa na data, zanzibar ina wakazi laki 5 hawafiki milioni mbwa wewe
KAKA YAKO ATAWEPOKama zanzibar wako milion na zaidi walitulizwa wakati wa uchaguzi,sembuse hao Wapuuzi 4,000?
mkuu acha kufkir upuuzi, hao wazanzbr miln hawakuamua, wangeamua leo usnge waita wapuuzi nyambafu mkubwa we!! Na huko dodoma umeambiwa hao vijana wanakwenda kuleta vurugu? Embu soma vizur bandiko,! sakalamento mkubwa weeKama zanzibar wako milion na zaidi walitulizwa wakati wa uchaguzi,sembuse hao Wapuuzi 4,000?
Polisi hawaingiliwi katika kazi zao. Atakayejichanganya lazima ashughulikiwemkuu acha kufkir upuuzi, hao wazanzbr miln hawakuamua, wangeamua leo usnge waita wapuuzi nyambafu mkubwa we!! Na huko dodoma umeambiwa hao vijana wanakwenda kuleta vurugu? Embu soma vizur bandiko,! sakalamento mkubwa wee