CHADEMA 4,000 kumiminika Dodoma July 23

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,770
102,122
Taarifa za Magazeti zinaripoti kuwa inategemewa vijana zaidi ya 4,000 wanategemewa kuingia Dodoma kabla ya July 23,ili kusaidia polisi kuzuia mikutano ya CCM.Vijana hao wa Chadema wanategemewa kutoka pande zote Tanzania.Viongozi wa Chadema mikoani wametoa taarifa kuwa tayari wawakilishi wamepatikani kwa wingi tayari kwa kusaidia polisi
 
Suala lililobaki ni kukwepa vizuizi vya barabarani. Tunakumbuka tulivyofanyiwa wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga
 
Hapo Dodoma yawezekena yakatokea machafuko makubwa sana kama tahadhari haitachukuliwa ikizingatiwa UVCCM nao wamejigamba kwamba hawatavumilia wenzao wa BAVICHA kukanyaga viwanja vya Whitehouse.
 
tutegemee mpambano mkubwa kati ya Bavicha na UVCCM. ni bora mkutano ule ukahairishwa vinginevyo tutegemee madhara.
 
1467865446129.jpg
 
Hapo Dodoma yawezekena yakatokea machafuko makubwa sana kama tahadhari haitachukuliwa ikizingatiwa UVCCM nao wamejigamba kwamba hawatavumilia wenzao wa BAVICHA kukanyaga viwanja vya Whitehouse.
Wanatishia nyau tu hao
 
Washawasha moja tu lina uwezo wa kusambarstisha zaidi ya watu 50,000. Hao 4,000 ni kitu gani?
 
Kama zanzibar wako milion na zaidi walitulizwa wakati wa uchaguzi,sembuse hao Wapuuzi 4,000?
mkuu acha kufkir upuuzi, hao wazanzbr miln hawakuamua, wangeamua leo usnge waita wapuuzi nyambafu mkubwa we!! Na huko dodoma umeambiwa hao vijana wanakwenda kuleta vurugu? Embu soma vizur bandiko,! sakalamento mkubwa wee
 
Nasubiri kwa hamu kuona Ole Sosopi, Mbowe, Salum Mwalimu, Tundu Lissu, Lema, Msigwa, Sugu wakiwa front line
 
ccm wamdhibiti, wasipomdhibiti wapinzani tutamdhibiti,labda ndio wanaenda kumdhibiti!
 
mkuu acha kufkir upuuzi, hao wazanzbr miln hawakuamua, wangeamua leo usnge waita wapuuzi nyambafu mkubwa we!! Na huko dodoma umeambiwa hao vijana wanakwenda kuleta vurugu? Embu soma vizur bandiko,! sakalamento mkubwa wee
Polisi hawaingiliwi katika kazi zao. Atakayejichanganya lazima ashughulikiwe
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom