OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,100
- 114,684
Taarifa za Magazeti zinaripoti kuwa inategemewa vijana zaidi ya 4,000 wanategemewa kuingia Dodoma kabla ya July 23,ili kusaidia polisi kuzuia mikutano ya CCM.Vijana hao wa Chadema wanategemewa kutoka pande zote Tanzania.Viongozi wa Chadema mikoani wametoa taarifa kuwa tayari wawakilishi wamepatikani kwa wingi tayari kwa kusaidia polisi