CHADEMA 4,000 kumiminika Dodoma July 23

Hapo Dodoma yawezekena yakatokea machafuko makubwa sana kama tahadhari haitachukuliwa ikizingatiwa UVCCM nao wamejigamba kwamba hawatavumilia wenzao wa BAVICHA kukanyaga viwanja vya Whitehouse.
Hao BAVICHA wakiendelea na kiherehere chao wataswekwa mahabusu mpaka wengine watahamishiwa mirembe
 
tutegemee mpambano mkubwa kati ya Bavicha na UVCCM. ni bora mkutano ule ukahairishwa vinginevyo tutegemee madhara.
Mnapambana humu mitandaoni tu, Dodoma mkutano unafanyika na hakuna atakayesogelea Chama tawala. Mitandaoni humu ruksa BAVICHA kupamabana.
 
hiyo ndio itakuwa nzuri na siku nyingine itabidi muheshimiwa ajifunze kauli.

mtu unapo mwambia usiibe harafu ww ndio unakuwa wa kwanza kuiba unafikiri watu watakufikiriaje.
 
Nasubiri kwa hamu kuona Ole Sosopi, Mbowe, Salum Mwalimu, Tundu Lissu, Lema, Msigwa, Sugu wakiwa front line

na Mimi nasubiri kuona uvccm wakikabiliana na BAVICHA kama walivyoahidi kupitia kwa viongozi Wa uvccm. hapa polisi waache kuingilia kati maana uvccm walishasema watalinda mkutano huo
 
Taarifa za Magazeti zinaripoti kuwa inategemewa vijana zaidi ya 4,000 wanategemewa kuingia Dodoma kabla ya July 23,ili kusaidia polisi kuzuia mikutano ya CCM.Vijana hao wa Chadema wanategemewa kutoka pande zote Tanzania.Viongozi wa Chadema mikoani wametoa taarifa kuwa tayari wawakilishi wamepatikani kwa wingi tayari kwa kusaidia polisi
Vitisho vya kitoto hivyo,
 
Mkuu kosa gani kuniita mbwa? z'bar inawakazi mil.1.5 kwa sensa ya mwaka 2012,wewe idad ya laki 5 ni wapiga kura kwa mwaka jana,your are not current at all! acha kutukana mtu usiyemjua,nimekusamehe bure.
Huyo ni bawacha haoni utofauti kati ya wapiga kura na wakazi
 
Hawa jamaa wanavituko hivi hizo hela kwanin wasiwape mitaji wakajikwamua na umaskini kuliko kuwaandalia ulemavu wa maisha?
 
Waache kutishia nyau. Bavicha ni bora wapambane ndani ya cdm kuitisha mkutano wa kumchagua m/kiti wa cdm. Wamng'oe sultan Mbowe. Wafanyie uchaguzi huo Ufipa au Mikocheni hakuna atakayewabughudhi, ni uchaguzi.
 
Back
Top Bottom