Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Teh teh teh!hakuna kitu,huko ni kujidanganya tu!nasikiaeti wana ladha kama kuku!!
Hapo lazima utapike,hawa jamaa inaonekana wana tatizo la upungufu wa vyakula!ninahisi kutapika
Umejuwaje?Teh teh teh!hakuna kitu,huko ni kujidanganya tu!
Teh teh teh!upo sahihi mkuu,siwezi kujua mbaka nionje!Umejuwaje?
Wakija hapa bongo watanenepa sana!Ukienda huko lazima uwe makini kulakula hovyo lakini huwa najiulizahivi kule China vyura,nyoka,mijusi na kenge si wamekwisha huko maporini sasa.
Wakija hapa Bongo yaani.watazoa vyura bure
Mkuu kwa suala la mbolea hili ni jambo la kawaida sana,mbona hata waswahili wanafanya hivyo!Hawa jamaa wachina nilishuhudia kwenye kambi yao moja ya ujenzi wakichota kinyesi cha binadamu karoni na kumwagilia kwenye bustani ya kabechi. Kabeji zilizotoka hapo zilikuwa kubwa ile mbaya na zingeshinda kwenye maonyesho yetu yoyote!
Sina hakika kama nikipata safari ya China sitarudi nimekonda kwa wasiwasi na chakula chao
Bora ulivyoamua kujitoa mapema,maana haya siyo mambo kabisa!Subhanallah....mie apo simo MziziMkavu endelea tu kula kaka angu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Inawezekama chura wanavirutubisho vya kufa mtu!Ndio maana wanaishi miaka mingi
Mkuu kwa suala la mbolea hili ni jambo la kawaida sana,mbona hata waswahili wanafanya hivyo!
Mkuu tunakula vitu vingi sana!Uwiii - Nafwaa!
Hawa jamaa wachina nilishuhudia kwenye kambi yao moja ya ujenzi wakichota kinyesi cha binadamu karoni na kumwagilia kwenye bustani ya kabechi. Kabeji zilizotoka hapo zilikuwa kubwa ile mbaya na zingeshinda kwenye maonyesho yetu yoyote!
Sina hakika kama nikipata safari ya China sitarudi nimekonda kwa wasiwasi na chakula chao
Teh teh teh!hakuna kitu,huko ni kujidanganya tu!