[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ni ugonjwa mbaya sana huo wa deo (chabo) kuna mtu nilikuwa najua mitaa ya maskani ana ngeu kibao kila mara anakurupuliwa mwizi mkimkamata aah kumbe flan mnaanza kumgombolezea kuwa sio mwizi huyu ana maradhi yake.