Cha usiku kitamu....!!!!

hapo imekosekana iseke ipwisa na iseke lyanyungu
 


Mkuu hongera kwani ningependa kuwa kama wewe manake mie mwenzio nikila ugali usiku naota ndoto za mijinamizi inanivamia na kutaka kutoa roho yangu. Nimefanya maombi kanisani na msikitini wapi. Yaani kila nikila ugali usiku lazima nitaota ndoto hizo tena wakati mwingine hata kabla ya kumega tonge utawasikia wakiniambia sikioni kwa kuninong'oneza kuwa "ukimeza tu hilo tonge ama zako ama zetu, na tuone kama utalala leo." Naomb ushauri wako, unafanyaje hapa kula ugali usiku bila kupatwa na mijinamizi?
 
daah mkuu pole sana aisee, mimi usiku,bila nguna kwa tindikali mambo hayajaenda.,nafkiri ni mazoea tu,tangu tuko wadogo nyali ilikua mara moko tu kwa wiki, nguna ikawa inahusika sana.
 
Na maharageeee.....au mchuzi wa nazi wa pweza

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Duu! Najua hukupitia JKU. Share yangu yote ya harage niliitumia kule, hilo la pweza a.ka.a betri hapo muafaka!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…