Natumia app ya jf, network ipo slow so picha ikawa haijaload nilivyoona title 'Cha usiku kitamu' halafu jukwaa jamii photos nikaja mbio nione picha itakayosadifu cha usiku.
Nikajua nitakuta watu wanafanya yao, nimekuta ugali.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
dirty mindLooooh ngoja nirudi nilikotoka![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Swahiba... Long time sana...
Kwema???
Heri ya mwaka mpya ariff...
Loooh nimekuja huku bila kuagaWatu wa chapati, pilau na urojo utawajua tu 🙂🙂
Huyu mpare bashite sana huyu... Mwanamme mzima utagongaje ugali mweupe bhana??