"Cha Uchokozi"

Aisee!
Na mimi nilipata kuambiwa na Remmy kuwa nina ndevu za uchokozi! Nategemea kufaidika na majibu!

Hahahaaaaa....kweli unazo za uchokozi!
Ila nanihii ni ya uhakika, haina uchokozi.
 
Last edited by a moderator:

Mmmmh mbona changu sio kigumuu ni std na sio mdebweedooo
 
Sijui hayo mengine, ila nadhani hili ni wowowo la uchokozi, maana ukkaa nae siti moja kwenye daladala lazima likuchokoze.

Last edited by a moderator:
Kumbe hapa leo kuna Sredi ya akili kihivi !
Ofcoz mwanamke asokua na shepu ni sawa na darasa liso na madawati !
 
haya chokozaneni mimi nipo kwa mbali nawacheck tu

Tuliopitwa na wakati utatujua tu....

Ngoja nikapumzike kwenye kivuli nifurahie wajukuu wanavyochokozana...Ila mradi wasiumizane kwa kutona na ngeu kwenye vichwa vyenye utata...lol!!

Babu DC!!
 
Tuliopitwa na wakati utatujua tu....

Ngoja nikapumzike kwenye kivuli nifurahie wajukuu wanavyochokozana...Ila mradi wasiumizane kwa kutona na ngeu kwenye vichwa vyenye utata...lol!!

Babu DC!!
mwenzangu, ngoja tuwapishe wajukuu wachokozane
 
Mmmmh mbona changu sio kigumuu ni std na sio mdebweedooo

kwani huwa kinarindima, singida - dodoma X 2...kama kinarindima sasa basi wewe ni kundi la tatu, kama kimekakamaa kama jiwe kuu la pembeni basi jua namba 2 inakuhusu...
 
Hahahaha FP umejuaje? huo mpododo noma usipime
kuna siku nilisoma post yako, zamani, nakumbuka mpaka sasa kuwa huo ndo ugonjwa wako................... ni vizuri ukijijua unataka nini, lol!
 
Sijui hayo mengine, ila nadhani hili ni wowowo la uchokozi, maana ukkaa nae siti moja kwenye daladala lazima likuchokoze.

Hili ukitaka ulifaidi panda nalo daladala la Posta-Mbezi, K.Koo-Mbezi, K.Koo-Tegeta, Posta-Gombs, Posta-Mb.Rangi3, M/Mmoja-Segerea alafu omba Mungu daladala lipakie mawe yaani mwanzo mwisho limeshona linaanza kushusha vituo karibia mnafika usipo chafua suruali kwa mfadhaiko basi we si rijali wallah
 
kuna siku nilisoma post yako, zamani, nakumbuka mpaka sasa kuwa huo ndo ugonjwa wako................... ni vizuri ukijijua unataka nini, lol!

huo kweli ndo ugonjwa wangu FP napenda nyama lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…