FP seriously hebu tupe input yako hapa, uchokozi wako kwetu sie ni upi? Si umemsikia beibe nasty apo juu alivyofunguka? Lolhaya chokozaneni mimi nipo kwa mbali nawacheck tu
Intelligecia wangu any way miili yakina michelle obama ile ila ya kiafrika zaidi hahahaaaa kawaida sio lakupigiwa miruzii mtaa wa kongoo
Hujaona hapo na mimi nawacheck kwa mbali na macho yangu ya uchokozi?FP seriously hebu tupe input yako hapa, uchokozi wako kwetu sie ni upi? Si umemsikia beibe nasty apo juu alivyofunguka? Lol
Hahahaaaaa hata mi nimeona lolHujaona hapo na mimi nawacheck kwa mbali na macho yangu ya uchokozi?
Hahahaaa labda anaogopa majibu magumu kutoaNaona hajaamka bado lol
mama kadogoo ningoje, maana huo ubapa nilipigwa nao ka pc, hapa hapanihusu, lol!Mh hapa naomba nipite tu !
umeona eeeeeeeeeeeeee!Hahahaaaaa hata mi nimeona lol
We sio nanii kama beibe nasty eeeeh lol
rafiki sio lazima kijungu, kwani wewe huna chochote cha uchokozi? lol!mama kadogoo ningoje, maana huo ubapa nilipigwa nao ka pc, hapa hapanihusu, lol!
Pouwaaaaaaha ha ha haaah!! Nitakujulisha usihofu....
Dah hebu waambie na wadada wengine waje wafunguke hapa tujue yupi mchokozi kwa lipiumeona eeeeeeeeeeeeee!
mama kadogoo ningoje, maana huo ubapa nilipigwa nao ka pc, hapa hapanihusu, lol!
Acha mkwara, huyo mwenyewe unayetaka kumshtakia hana noma kabisa.