Heheehehehheeee ukomeee kutaka miwowo kwa bahat mbaya jg kawahi ila mi ninacho cha uchokoziii hehheee poleee
Mbona mapema mapema mno? umeshachokozwa asubuhi hii??
Hiyo jg kwenye quote ni nini??
Babu DC!!
ruttashobolwa hebu tuambie apa Madame B ana kijungu eti? Halafu mwalimu wangu mbona vipindi huingii jamani unataka nifeli?Aisee na Mimi Rutta wangu huwa ananiambiaga nina Kijungu cha uchokozi,tena kilichobetuka kwa juu.
Sasa sielewi ubetukaji huo unamsaidia vipi yeye,
Labda aje mwemyewe.
haaaa mkuu Dark City....ndo 'nimechokozwa' na hao kina beibe nasty and co...hiyo jg anamrefer Judgement ndo usingizi wake hapa...
Aisee na Mimi Rutta wangu huwa ananiambiaga nina Kijungu cha uchokozi,tena kilichobetuka kwa juu.
Sasa sielewi ubetukaji huo unamsaidia vipi yeye,
Labda aje mwemyewe.
Ndo maana nilitaka kukueleza kuwa umeamua kufanya uchokozi wewe mwenyewe...Mkuu Kaizer!!
Hilo neno jg lenyewe...kuna watu linawahamishia kwenye viwanja vya burudani...Na hilo jingine ndo usiseme. Maana enzi zetu, "cha uchokozi" ilikuwa na maana nyingine kabisa...Kwamba mtu bila kujiandaa anastukia keshapigwa vodafasta na kuendelea na majukumu mengine....Kasheshe yake huwa hakuna anayeshiba hapo!!
Ngoja niachie hapo kwanza kwani uchokozi wako si mchezo!
Babu DC!!
ruttashobolwa hebu tuambie apa Madame B ana kijungu eti? Halafu mwalimu wangu mbona vipindi huingii jamani unataka nifeli?
Mwanafunzi wangu ningeendelea kukufundisha ila tatizo lako ni kwamba kila kiwanja ninachotimba nakukuta na kila upenyo au uchochoro ninaopita tunakutana sasa naona ni heri nisikufundishe tena kwani nahs utakuwa Umeshafaulu Masomo Yangu