Cha Tarime hiki

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,630
697,606
56886f3359cebcb658929764addd8238.jpg
 
Mshana Jr Nakuheshimu Sana Mkuu ILA Nakuomba ACHA Narudia Tena ACHA Kuwadhihaki MAKOMANDOO Wetu Kiasi Hiki. Hao Watu WANASTAHILI HESHIMA SANA MKUU Kutokana Na USHUJAA, UVUMILIVU Na SHUGHULI ZAO Na WAMEIFANYIA MENGI MAKUBWA ( Behind Doors ) Nchi Hii Kwa KUJITOA MUHANGA Na Si Ajabu Hata Hiyo Amani Unayojivunia IMENOGESHWA Na Hawa Hawa. Nimejisikia Vibaya Mno ULIVYOWADHIHAKI. Acha Hizo Comrade Japo Mimi Ni Mtu Wako Sana Na Unalijua Hilo ILA Kuhusiana Na Hawa Jamaa Nadhani TUNASTAHILI KUJIVUNIA NAO NA KUWATIA MOYO.
 
Sasa kwani mshana amewavunja moyo?
Amewadhihaki?
Au alivosema cha tarime ndio umeona kama hajivunii nao
Me mtazamo wangu naona Hakuna kosa as long ni Watanzania wenzetu na ni watu kama sisi na pia wana hisia kama sisi sioni ajabu kufurahi
 
Mi najua amemsifia.... kusema hiki ni kifaa cha Tarime ni sawa na kusema Messi ni kifaa cha Barcelona.

Wanajeshi wetu wengi wametokea pande hizo.

Naungana na mshana jr ... hiki ni cha Tarime
 
Mshana Jr Nakuheshimu Sana Mkuu ILA Nakuomba ACHA Narudia Tena ACHA Kuwadhihaki MAKOMANDOO Wetu Kiasi Hiki. Hao Watu WANASTAHILI HESHIMA SANA MKUU Kutokana Na USHUJAA, UVUMILIVU Na SHUGHULI ZAO Na WAMEIFANYIA MENGI MAKUBWA ( Behind Doors ) Nchi Hii Kwa KUJITOA MUHANGA Na Si Ajabu Hata Hiyo Amani Unayojivunia IMENOGESHWA Na Hawa Hawa. Nimejisikia Vibaya Mno ULIVYOWADHIHAKI. Acha Hizo Comrade Japo Mimi Ni Mtu Wako Sana Na Unalijua Hilo ILA Kuhusiana Na Hawa Jamaa Nadhani TUNASTAHILI KUJIVUNIA NAO NA KUWATIA MOYO.
Ushujaa wa kujipasulia matofali dhaifu kichwani?
Acheni kuvutia bange chooni.
 
Mshana Jr Nakuheshimu Sana Mkuu ILA Nakuomba ACHA Narudia Tena ACHA Kuwadhihaki MAKOMANDOO Wetu Kiasi Hiki. Hao Watu WANASTAHILI HESHIMA SANA MKUU Kutokana Na USHUJAA, UVUMILIVU Na SHUGHULI ZAO Na WAMEIFANYIA MENGI MAKUBWA ( Behind Doors ) Nchi Hii Kwa KUJITOA MUHANGA Na Si Ajabu Hata Hiyo Amani Unayojivunia IMENOGESHWA Na Hawa Hawa. Nimejisikia Vibaya Mno ULIVYOWADHIHAKI. Acha Hizo Comrade Japo Mimi Ni Mtu Wako Sana Na Unalijua Hilo ILA Kuhusiana Na Hawa Jamaa Nadhani TUNASTAHILI KUJIVUNIA NAO NA KUWATIA MOYO.
Najua wazi umenielewa ndivyo sivyo.. GENTAMYCINE ila hakuna dhihaka yoyote niamini
 
Mshana Jr Nakuheshimu Sana Mkuu ILA Nakuomba ACHA Narudia Tena ACHA Kuwadhihaki MAKOMANDOO Wetu Kiasi Hiki. Hao Watu WANASTAHILI HESHIMA SANA MKUU Kutokana Na USHUJAA, UVUMILIVU Na SHUGHULI ZAO Na WAMEIFANYIA MENGI MAKUBWA ( Behind Doors ) Nchi Hii Kwa KUJITOA MUHANGA Na Si Ajabu Hata Hiyo Amani Unayojivunia IMENOGESHWA Na Hawa Hawa. Nimejisikia Vibaya Mno ULIVYOWADHIHAKI. Acha Hizo Comrade Japo Mimi Ni Mtu Wako Sana Na Unalijua Hilo ILA Kuhusiana Na Hawa Jamaa Nadhani TUNASTAHILI KUJIVUNIA NAO NA KUWATIA MOYO.
Makomandoo gani wanapiga wake zao kila siku na kuwachoma visu?

Makurya ile jadi ya Kunywa Uharo wa Mbuzi uliochanganywa na Damu Unawaharibu akili.
 
Afadhali Umewachokoza WAKURYA Wenyewe Hivyo Watakuja Wenyewe ILA Mimi MZANAKI NILIYETUKUKA Naamini UKOMANDOO Wetu au UKAKAMAVU Wetu Uko Hasa KICHWANI Kwa Kuwa Na UWEZO MKUBWA Wa KUFIKIRI Ambao Uliwaongozeni Watanzania Kwa Miaka Yote 22 Na Mkawa Mnafuata Wanachosema WAZANAKI Na Mpaka Sasa Bado WAZANAKI Tunaiongoza Na Kuitawala Nchi Hii Kwa Mbinu Zetu Za Ndani Kabisa Tulizokuja Nazo Miaka Ya 1890 Kutoka Nchini Rwanda Ambako Tumewaacha Ndugu Zetu Wa Damu WATUTSI. Wazanaki Hatujajaaliwa Hiyo MIGUVU Yenu Ila Upstairs TUMETUKUKA Kwa UPEO, MBINU Na MAARIFA.
 
Mshana Jr Nakuheshimu Sana Mkuu ILA Nakuomba ACHA Narudia Tena ACHA Kuwadhihaki MAKOMANDOO Wetu Kiasi Hiki. Hao Watu WANASTAHILI HESHIMA SANA MKUU Kutokana Na USHUJAA, UVUMILIVU Na SHUGHULI ZAO Na WAMEIFANYIA MENGI MAKUBWA ( Behind Doors ) Nchi Hii Kwa KUJITOA MUHANGA Na Si Ajabu Hata Hiyo Amani Unayojivunia IMENOGESHWA Na Hawa Hawa. Nimejisikia Vibaya Mno ULIVYOWADHIHAKI. Acha Hizo Comrade Japo Mimi Ni Mtu Wako Sana Na Unalijua Hilo ILA Kuhusiana Na Hawa Jamaa Nadhani TUNASTAHILI KUJIVUNIA NAO NA KUWATIA MOYO.
Nidhamu ya uoga!!!
 
Afadhali Umewachokoza WAKURYA Wenyewe Hivyo Watakuja Wenyewe ILA Mimi MZANAKI NILIYETUKUKA Naamini UKOMANDOO Wetu au UKAKAMAVU Wetu Uko Hasa KICHWANI Kwa Kuwa Na UWEZO MKUBWA Wa KUFIKIRI Ambao Uliwaongozeni Watanzania Kwa Miaka Yote 22 Na Mkawa Mnafuata Wanachosema WAZANAKI Na Mpaka Sasa Bado WAZANAKI Tunaiongoza Na Kuitawala Nchi Hii Kwa Mbinu Zetu Za Ndani Kabisa Tulizokuja Nazo Miaka Ya 1890 Kutoka Nchini Rwanda Ambako Tumewaacha Ndugu Zetu Wa Damu WATUTSI. Wazanaki Hatujajaaliwa Hiyo MIGUVU Yenu Ila Upstairs TUMETUKUKA Kwa UPEO, MBINU Na MAARIFA.
Teh teh teh.
Na mimi naona Mji wenu ulivyojengeka.
Na vyuo vyenu vikuu vilivyojaa.

Kijana bangi mbaya. Hasa ukiivuta wakati tumbo tupu.
Baba yenu Nyerere katawala watu kimabavu na kuleta sera ya vijiji vya Ujamaa na kulazimisha watu wakaishi maporini matokeo yake wananchi kuliwa na wanyama pori.

Yule mzee alikuwa ni Copy and paste kwa wachina matokeo yake kaua wananchi wasio na idadi.
Halafu we kwa kupiliza ganja zako tayari mnajiona mna akili.

Acha kijana kabla hujaanza kuvaa chupi kichwani.
 
ww mtt wa kitanga laini laini acha kudhihaki kabila la majembe.
Teh teh teh.
Mnyonga kiuno ukisifia jembe lzm uubebe na Mpini wake.

Kumbe we mnywa kichuri? (Uharo wa mbuzi uliochanganywa na damu)!

Ndio maana kiuno chako hakitulii.
Pole sana.
Hakuna kabila bovu nchini km wakurya.
Mumeo Kukata mguu wako ni km wewe kunyonga kiuno. Yaani ndio kazi zao hizo. Jichunge Remote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom