Cha Tarime hiki

Kunywa UHARO WA MBUZI ni Mila ya WAKURYA WOTE.

Mnachanganya UHARO WA MBUZI NA DAMU YAKE. mnaita KICHURI.

Hii sikuambiwa na mtu bali NIMEONA KWA MACHO YANGU.

mimi kila mara nachinjia majirani zangu hapa na Siku moja nikaombwa na MKURYA nimchinjie Mbuzi wake.

Wakati nachinja Akaja na Bakuli akakinga Damu inayotoka Shingoni Akakoroga na Mti halafu nilipopasua Tumbo kutoa Utumbo Akapasua MFUKO WA MAVI akachota akachanganya na Ile DAMU AKANYWA PALE PALE km Lita NZIMA YA MAVI na iliobaki akapeleka ndani.

Pumbafu kabisa. Nikamwambia Kuanzia leo Ukae mbali na Mimi.
Mtu mzima UNAKUNYWA UHARO WA MBUZI? akanambia Hii ni JADI YA WAKURYA WOTE. eti inawapa Ushujaa.
Ushujaa wa KUPIGA WAKE ZENU MAPANGA? huo ndio USHUJAA?

Nyie watu wehu.
Mnatakiwa kwenda kumuona Daktari wa akili haraka sana. Kabla hamja maliza kuua WAKE ZENU.

nimecheka mpaka naumwa mbavu. Kama ni kweli basi ndo maana wanaenda jeshini wengi sababu ya kula undigested food with all nutrients and poisons combined plus blood as a catalyst.
 
u're stupid kid mshana jr
1456597401288.jpg
 
Makomandoo gani wanapiga wake zao kila siku na kuwachoma visu?

Makurya ile jadi ya Kunywa Uharo wa Mbuzi uliochanganywa na Damu Unawaharibu akili.
Kuna jamaa alikuwa anaulizia kichorii nikawa simuelewi
 
Kuna jamaa alikuwa anaulizia kichorii nikawa simuelewi
Basi ndio ujue leo kuwa "KICHORI" ni Uharo wa mbuzi uliochanganywa na Damu.
Ni kinywaji maarufu sana Kwa WAKURYA na kina Bei kubwa km utakipeleka bado Ule UHARO WA MOTO. yaani fresh.
 
Mshana Jr Nakuheshimu Sana Mkuu ILA Nakuomba ACHA Narudia Tena ACHA Kuwadhihaki MAKOMANDOO Wetu Kiasi Hiki. Hao Watu WANASTAHILI HESHIMA SANA MKUU Kutokana Na USHUJAA, UVUMILIVU Na SHUGHULI ZAO Na WAMEIFANYIA MENGI MAKUBWA ( Behind Doors ) Nchi Hii Kwa KUJITOA MUHANGA Na Si Ajabu Hata Hiyo Amani Unayojivunia IMENOGESHWA Na Hawa Hawa. Nimejisikia Vibaya Mno ULIVYOWADHIHAKI. Acha Hizo Comrade Japo Mimi Ni Mtu Wako Sana Na Unalijua Hilo ILA Kuhusiana Na Hawa Jamaa Nadhani TUNASTAHILI KUJIVUNIA NAO NA KUWATIA MOYO.
Leo Umeongea Point Sana

Respect Our Soldiers
 
mshana jr, tarehe 13 inakuwaga na upinzani sana, why?
 
Du! asavali uharo wa mtu unajua kala chipsi mayai... uharo wa mbuzi beberu anaekunywa mkojo wa mbuzi jike! puu!.. ndo mana wanawake wanaoana wao kwa wao...
 
Afadhali Umewachokoza WAKURYA Wenyewe Hivyo Watakuja Wenyewe ILA Mimi MZANAKI NILIYETUKUKA Naamini UKOMANDOO Wetu au UKAKAMAVU Wetu Uko Hasa KICHWANI Kwa Kuwa Na UWEZO MKUBWA Wa KUFIKIRI Ambao Uliwaongozeni Watanzania Kwa Miaka Yote 22 Na Mkawa Mnafuata Wanachosema WAZANAKI Na Mpaka Sasa Bado WAZANAKI Tunaiongoza Na Kuitawala Nchi Hii Kwa Mbinu Zetu Za Ndani Kabisa Tulizokuja Nazo Miaka Ya 1890 Kutoka Nchini Rwanda Ambako Tumewaacha Ndugu Zetu Wa Damu WATUTSI. Wazanaki Hatujajaaliwa Hiyo MIGUVU Yenu Ila Upstairs TUMETUKUKA Kwa UPEO, MBINU Na MAARIFA.
mbona we mwenyewe kiazi
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom