Cha ndimu


swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,338
Likes
17,333
Points
280
Age
18
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,338 17,333 280
umenikumbusha mbali sana.mimi nilikuwa mmoja wapo wa kusuka mpira na kuwauzia madogo nwisho wa siku waliniibia vifaa vyangu ikawa mwisho wa game.sinema yangu imeishia hapo.


swissme
 
K

kabunda88

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Messages
2,351
Likes
1,468
Points
280
K

kabunda88

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2015
2,351 1,468 280
Hahahahahaha enz za mwalimu
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
101,969
Likes
120,020
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
101,969 120,020 280
umenikumbusha mbali sana.mimi nilikuwa mmoja wapo wa kusuka mpira na kuwauzia madogo nwisho wa siku waliniibia vifaa vyangu ikawa mwisho wa game.sinema yangu imeishia hapo.


swissme
 
Pancras Suday

Pancras Suday

Verified Member
Joined
Jun 24, 2011
Messages
7,607
Likes
1,646
Points
280
Pancras Suday

Pancras Suday

Verified Member
Joined Jun 24, 2011
7,607 1,646 280
Hii kitu ilining'oaga ukicha mpaka sasa kuna alama
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
6,771
Likes
6,041
Points
280
Age
22
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
6,771 6,041 280
kama hiyo ardhi ilivyo ukitoka hapo umepaukaa kuoga hutaki lkn kula unataka,kama ni ubweche unawahi kurudi na kuoga mapema..sembo imenikuza
dah you remind me those day
 
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Messages
12,399
Likes
35,458
Points
280
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2013
12,399 35,458 280
Aiya.. Kwenye ubora wangu, fundi tycoon makaveli jr thierry henry kichogo
 
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
10,632
Likes
3,850
Points
280
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
10,632 3,850 280
Daaah,enzi hizo...miguu yangu Kama Ina gundi!,nilikuwa na ndoto ya kuwa midfider mkali enzi hizo Nicodemas Njohole...daaah maisha ya Tanzania kweli hayana formular.
 
peterchoka

peterchoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Messages
7,403
Likes
7,231
Points
280
peterchoka

peterchoka

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2014
7,403 7,231 280
enzi kuna timu mtaani inaitwa chelsea, tandale shule hiyo, mzee mzima nilikuwa nakamatia namba11, kama napiga vile nawavuta wawili watatu nampa mwanangu saidi kiduarisho anaweka kambani.. utoto raha
 
1

1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
5,321
Likes
2,957
Points
280
1

1954

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
5,321 2,957 280
Mwenye mpira lazma apangwe! La sivyo hakuna kucheza

Nimependa hii...Mara nyingi wenye mpira walikuwa hawajui kucheza, akichezewa rough (rafu) ndogo tu anaweka mpira kwapani kutaka kuondoka, halafu inabidi mmbembeleze weee, mpaka anakubali.....
 
Cousin

Cousin

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
12,207
Likes
35,440
Points
280
Cousin

Cousin

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
12,207 35,440 280
Hii kitu sitaisahau kabisa,imesababisha ning'oe kucha kibao
 

Forum statistics

Threads 1,237,110
Members 475,401
Posts 29,278,453