PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,725
Wakuu,
Tarehe 5/2/2011 jamaa wa ng'ambo ya pili wanafanya sherehe za maadhimisho ya kutimiza miaka 34 tangu kuzaliwa kwa kundi la sisiemu....
Wakati huohuo SIKU HIYO kuna members wengine hapa ndani watakuwa na CHAI-DAY (tea-party??), ambapo watakutana mahala na kujadili mambo ya msingi ya KILIMO KWANZA, wakiangalia na mustakabali wa nchi kwenye habari ya uzalishaji!
Wewe kama mwanaJF ambaye una uchungu na nchi unashauri mambo gani kadha wa kadha yafanyike siku hiyo ili mradi kuonyesha kuwa tuko kinyume na kufanya masherehe hasa wakati huu ambapo nchi iko gizani, na kwa namna moj au nyingine ni gharama kwa serikali?
Kwa tulioko pande za huku tumeandaa mpango kamambe wa kuwasilisha hisia zetu siku hiyo, ambao ukifanikiwa mtausikia kwa media!...Tushirikishane!