CF: Nitagombea kipindi kimoja tu - Dr. Slaa

CF: Nitagombea kipindi kimoja tu - Dr. Slaa

Huu ni mfano wa kuigwa hata Mandela alifanya hivyo hivyo.................Ni dalili njema ya kutokuwa na uchu wa madaraka................
 
..Tanzanians, a man like this is hard to get,.....rare like black diamonds!..tusiichezee nafasi tuliyopewa na mungu.
 
Tusipomchagua sasa tumekwisha, huu ni wakati muafaka tusimkose kabisa mtu huyu kwa kipindi hiki.
 
Kama akichaguliwa...mwaka huu..what if asipochanguliwa...mean atapiga compain...kwa ajiri ya kijana mwingine...kwa next five years?
 
Ni vizuri,nahisi atasafisha njia na kuwaachia vijana waongoze nchi ingawa imeniwia vigumu sana kuisoma na kudownload hili file
 
..Tanzanians, a man like this is hard to get,.....rare like black diamonds!..tusiichezee nafasi tuliyopewa na mungu.

Hii ni nafasi nzuri sana kwetu Watanzania kuonyesha kwamba Tanzania bila thithiem inawezekana kabisa.
 
Natamani Prf.Lipumba angepata taarifa hizi.
Lakini jamani madaraka yanalevya.
Si mmemsikia rais wa Nigeria!
Mpango ilikuwa akae madarakani kwa muda tu lakini sasa ameamua kutangaza nia kuwa atagombea nafasi hiyo ili aendelee kula kuku.
 
Huu ni mfano wa kuigwa hata Mandela alifanya hivyo hivyo.................Ni dalili njema ya kutokuwa na uchu wa madaraka................

Rutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa awali ya yote pole kwa majukumu. Usihadaike na ahadi za wanasiasa kijana especial yule asiejua tamu ya uongozi akiona atasutwa atakuja na eeeh wazee wameniomba niendeleee watu makofi pwapwapwapwa! hao ndio wana si hasa
 
dah, hii kauli ni nzito, najaribu kufikiria kwa mfano akakosa Urais mwaka huu, ina maana hatagombea tena 2015? Mbona tunamhitaji sana???
 
Hayo ni maneno ya wanasiasa. Sasa anakuambia nitagombea kipindi kimoja, kikiisha utasikia wananchi wameniomba nigombee tena. Let us wait and see!
 
Dr. ana umri mkubwa pia hivyo ni sawa kusema hatagombea infact hata asingesema nadhani hilo liko wazi.
 
2010 hakuwa na nia wala wazo lakini aliombwa akakubali! Hana wazo for 2015 but ataombwa ata.....!!!
 
ahadi zake nyingi haziwezi tekelezeka katika miaka mitano
mfano barabara na reli huhitaji mambo mengi mpaka imalizike. kuna upembuzi yakinifu, kutafuta contractors na consultants kwa tendering na hata ujenzi wenyewe.
 
"Tangu mwanzo waliponiomba nilikubali...... ", Kwa kawaida huu usemi huwa si mzuri sana kwani uongozi ni wito na si kuombwa. Nadhani kauli nzuri ingekuwa ni "Tangu mwanzo nilipoamua....." huo ni ushauri kwa Dr. au aliyeandika kijarida hicho.
 
Aaache kudanganya watu, mbona ubunge hakugombea miaka mitano au kumi?

Hawa wanasiasa wanatufanya wananchi wote wajinga.
 
Kwa Nchi ilivyooza kipindi kimoja hatafanikisha mengi tu. Mrithi wake ndani ya CHADEMA asiyeyumba kama yeye ni nani?
 
I dont buy it!!! Ikifika 2013, atasema wameniomba saaaaaana nirudi

It is wrong for Dr. Slaa to make such a promise at this juncture.... aaarhgghghhhh
 
Dr. ana umri mkubwa pia hivyo ni sawa kusema hatagombea infact hata asingesema nadhani hilo liko wazi.

hakuna limit ya umri kwenye Urais as long as yupo strong na ataendesha nchi vizuri. hawanyanyui zege kule (kumbuka mzee malecela)
 
Back
Top Bottom