CF: Nitagombea kipindi kimoja tu - Dr. Slaa

Miaka mitano ni michache sana kuiacha nchi inaneemeka, hataweza tekeleza agadi zote alizoahidi, akitoka je tutampata wa kuwa kama yeye, nani atamalizia, viporo havishighkukiwi, example ni malipo ya wastaafu EA, Ben alimwachia JK, mpaka sasa wako dolo.
 
Watu wengine mnapenda kubisha tu!! tumpe tuone kama 2015 atabadilika.... Mie naamini kama tunahisi ni mwongo tumpe mwaka huu kura zote kisha kama 2015 akitaka kugombea tena tumuulize kuhusu hii ahadi yake!!!
 
Hicho kijarida nimeshindwa kukisoma kwani Dr kasema hata gombea tena endapo hata chaguliwa au hata akiwa rais hagombei tena?
 
Hapana. Misimamo ya Zitto haitabiriki.

Zitto Knew all the details all the way back na ndio maana akatangaza kule kigoma wakati wa kampeni za ubunge kuwa akirudi Kigoma 2015 ni kwa ajili ya kugombea Urais

Hicho kijarida nimeshindwa kukisoma kwani Dr kasema hata gombea tena endapo hata chaguliwa au hata akiwa rais hagombei tena?

Yaani iwe amechaguliwa kuwa rais au hajachaguliwa kuwa rais hatogombea tena that is it period.

Nyie Urais ni mgumu nyie kwa wale wazalendo kweli wanao itakia nchii hii maendeleo na hawana tamaaa kwao kipindi kimoja its enough kwa hiyo sishangai na nina m support kwa hilo

Kwa kuwasaidia tuuu check hizo details hapo chini

MAKE YOUR OWN MIND...AGE VS MINDSET AND VISION

WHY AFRICA IS 25 YEARS BEHIND THE DEVELOPED WORLD.....

AFRICAN LEADERS
Abdulai Wade (Senegal) age 83
Hosni Mubarak ( Egypt ) age 82
Robert Mugabe ( Zimbabwe ) age 86
Hifikepunye Pohamba ( Namibia ) age 74
Rupiah Banda ( Zambia ) age 73
Mwai Kibaki ( Kenya ) age 71
Ellen Johnson Sirleaf ( Liberia ) age 75
Colonel Gaddafi (Libya) age 68
Jacob Zuma (South Africa) age 68
José Eduardo dos Santos age 68
Bingu Wa Mutharika (Malawi) age 76
____________ __________________
Average Age: 75.6 ~ Approximately 76 years
____________ __________________

THE FIRST WORLD LEADERS
Barrack Obama (USA) age 48
David Cameron (UK) age 43
Dimitri Medvedev (Russia) age 45
Stephen Harper (Canada) age 51
Julia Gillard (Australia) age 49
Nicolas Sarkozy (France) age 55
Luis Zapatero (Spain) age 49
Jose Socrates (Portugal) age 53
Angela Merkel ( Germany ) age 56
Herman Van Rompuy ( Belgium ) age 62
____________ __________________
Average Age: 51.1 ~ Approximately 51 years
____________ __________________

DIFFERENCE: 25 years

Hahaha nimeipenda hii analysis
 
Sasa mlitaka aseme nitagombea tena na tena. Anachokifanya sasa hivi ni kuwaamsha watanzania kwamba uhuru mnaoimbiwa kila siku bado hamjaupata uhuru na ukombozi ni sasa na kwa vizazi vijavyo. Angesema atagombea tena mngesema ana uchu wa madaraka amesema miaka mitano bado tunamwona kama ni mbabaishaji lets give a man a break baada ya kufanya yote aliyofanya kwa kipindi alichokuwa bungeni bado tunamwona ni mbabaishaji tuwe wauungawana kidogo baada ya miaka mitano atatokea mwingine ambaye atakuwa na mwamko kama wake kwa hivi mimi naona ni sahihi tu kwa alichokizungumza.
 
I think it is unnecessary to make such a statement, kuna watu itawakatisha tamaa. Ni busara kunyamaza at times.
 
ahadi zake nyingi haziwezi tekelezeka katika miaka mitano
mfano barabara na reli huhitaji mambo mengi mpaka imalizike. kuna upembuzi yakinifu, kutafuta contractors na consultants kwa tendering na hata ujenzi wenyewe.

Mkuu ungeangalia mahojiano ya jana na star TV ungeelewa na kunyamaza!!!

Tatizo vyombo vyetu vya habari navyo si vya kuaminika!!!
 
Rutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa awali ya yote pole kwa majukumu. Usihadaike na ahadi za wanasiasa kijana especial yule asiejua tamu ya uongozi akiona atasutwa atakuja na eeeh wazee wameniomba niendeleee watu makofi pwapwapwapwa! hao ndio wana si hasa

wale waleeee
 
khee kumbe Zuma wa zamani hivi ..lakini ng'ombe hazeeeki maini..hivi huyu wa kwetu ana ngapi?khaa 60 kwa hiyo akikutana na obama ,obama anamuamkia shkamooo halafu anamuomba msaada
 
Yeah hii ni nzuri hasa baada ya kuitoa TZ katika matatizo makubwa inayokuwa nayo!
 
ahadi zake nyingi haziwezi tekelezeka katika miaka mitano
mfano barabara na reli huhitaji mambo mengi mpaka imalizike. kuna upembuzi yakinifu, kutafuta contractors na consultants kwa tendering na hata ujenzi wenyewe.

Unazungumza kwa uzoefu wa serikali ya ccm siyo?Unajua chanzo kimoja wapo cha rushwa katika ofisi za serikali ni urasimu usio na maana,hata wananchi tumeshajijengea kuwa jambo lolote la Kiserikali lazima lichuke muda..hiyo si kweli,serikali yenye ufanisi huweka uwajibikaji wenye kujali muda.
 
Back
Top Bottom