Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,584
Inashangaza kuona tunapoelekea
CEO msaada wako wa haraka kuna miradi ya watu kuuza maji. Leo hii wiki ya pili akuna msemaji watu hawana maji.
Wenye uwezo wameanza leta madumu wanauza 1000,familia ya watu watano wanatumia elfu tano kwa siku? Mnatupeleka wapi wengine.
Msaada wako please hata kama wameanza miradi yao ya kuuza maji tunaomba wasimamishe wasubiri mwezi ujao, jamani huku mwendokasi huku uweke maelf ya maji.