kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,247
- 16,169
Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani ya taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale.
JKT Tanzania wameonesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya jeshi la Tanzania ambalo ndio "gold standard" ya uwadilifu na nidhamu nchini. Bila shaka hii sio tabia ya JKT Tanzania bali CEO wa timu ambae ni raia .
Kabla ya TFF kuiadhibu JKT Tanzania kwa ulozi JKT Tanzania wamuajibishe CEO wake kwanza na haraka kwa aibu hii.