jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,696
- 1,807
yani alichotendwa konnie na zombie ni zaidi ya matumizi ya kawaida ya mwanadamu!LOL!
Hahahahahaha yaani we snowhite ni balaa, yaani unamsema mwenzio hivyo uuuhh??
Kumbe watu wa kule Banana Republic ni wabaya sana ??
Kwakuwa mi ni binamu naruhusiwa kuona visivyoonekana kwa wengine, ntakusimulia weekend hii!
Last edited by a moderator: