BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
hahahahaaaaaaa
Last edited by a moderator:
haya ngoja tufike huko mwisho, lol!its a long strory dada mkubwa!we twende tu tutajua mwisho wake!
mwenye kujua duka linalouza miwani nzuri tafadhali....
nimeshapofusha macho yangu.... lol!
unaweza kujamiiana na mkono wako mwenyewe? (jamiiana comes from jamii sio?)Hapo kwenye bold labda ni vyema kutumia neni "tendo la kujamiiana"
Itapendeza zaidi maana tendo la ndoa lnahusisha wanandoa tu na nje ya hapo ni kujamiiana.
Otherwise nakubaliana na tafsiri yako mkuu.....
gfsonwin kumbeeee ndo mana uliniopoa kirahisi,mwenyewe huwa najishangaa how did i fall in maloveeee kirahisi hivo.Kongosho nimeikuta mada mbali kweli celibacy kwa kiswahili fasaha huitwa useje, huu hufanywa na watu ambao wameweka nadhiri zao kwa Mungu ama wana nia ya kupata kitu fulan.
mfano mapadri, masista ma brother ma mabruda hawa wote hupaswa kuish maisha ya useja.
mm gfsonwin kama mkristo wa kawaida naweza pia kuweka nadhiri ya useja kwa muda fulan, mara nyingi sana kama mtu anataka kufunga novena labda siku 90 huwa anaweka nadhiri ya kutokufanya tendo la ndoa pia wakati wa mafungo na hii ni ili aweze kuishkilia fungo yake vzr. kumbuka kwamba ili uweze kuweka nadhiri lazima iwe ni ile ambayo itakuumiza kidogo kusudi uikiriri nafsi yako.
niseme hairuhusiwi kwa mtu kuweka nadhiri let say ya mwezi lkn kumbe kawaida yake anaweza kuish mwezi mzima bila kushiriki tendo la ndoa. inatakiwa kama ktk hali ya kawaida unaweza kukaa mwezi mzima basi ktk hali ya useja ukae zaid ya hapo like miez 2 ama 3
matendo ya kissing, flirting na yenyewe hayatakiwi unapoweka nadhiri ya useja. PIA ukumbuke kwamba maombi ya kufunga unayaoyafanya ukiwa ktk hali hii hujibiwa haraka sana, binafsi niliwah kufanya hivi na kabla ya kumaliza mfungo Mungu alikuwa kesha nijibu.
huwa naskia kuhusu celibacy.
Ni nini?
Inasaidia nini?
Ni vitu gani usifanye ili celibacy iendelee kuwa valid.
Msaada tafadhali . . .
mkono huu uliotype hapa ndo huwa unapigia ishara ya msalaba!uuuuuuuwih!
niseme hairuhusiwi kwa mtu kuweka nadhiri let say ya mwezi lkn kumbe kawaida yake anaweza kuish mwezi mzima bila kushiriki tendo la ndoa. inatakiwa kama ktk hali ya kawaida unaweza kukaa mwezi mzima basi ktk hali ya useja ukae zaid ya hapo like miez 2 ama 3
matendo ya kissing, flirting na yenyewe hayatakiwi unapoweka nadhiri ya useja. PIA ukumbuke kwamba maombi ya kufunga unayaoyafanya ukiwa ktk hali hii hujibiwa haraka sana, binafsi niliwah kufanya hivi na kabla ya kumaliza mfungo Mungu alikuwa kesha nijibu.
unanishangaza sana inamaana umesahau kwamba mm ni mwl?? tena wa biology??
shkamooo mwaaaalimu!af ujue nimeweka kidole gumba kwenye paji mimi!LOL!
He he he, kama wwe ndie mlinzi basi itakuwa ngumu sana
Maana naweza kuvunja nadhiri ili tu nivunje nadhiri yako kwa bibi
So wote wawili tutajikuta tumevunja nadhiri zetu
ndio huwa wanaweza kupata ila hii hutokea iwapo mtu hatasimama katika kusali, na kujitakasa muda mwingi.
inapaaswa mseja awe ni mtu wa kuomba sana ili asiingizwe majaribuni na hapa hutakiwa hata kutamkia viungo vyake mfano mm gfsonwin nitasema naviweka wakfu nyonyo, uchi, ulimi nk wakfu kwa Mungu na navitakasa kwa damu ya Yesu ili ibilisi asinitie majaribuni kupitia viungo hivi.
ikitokea umepata ndoto nyevu yakupasa bila kuiharibu utubu kwa Mungu kisha ueke nia ya kuendelea hadi umalize nadhiri yako. sio kazi nyepesi na ndio maana wale ambao wako kimaslah katika ngaazi hii ya useja huanguka dhambini.