Lakini nadhani traditionally celibacy ni tabia ya kujinyima kitu kwa kufuata vipimo fulani. Sema siku hizi imekuwa too much associated with with sex and religion. Huko zamani celibacy ilikuwa siyo limited tuu kwenye mambo ya sex or religion. Ilikuwa more secular.
Kwa mfano, wanasema kwamba mnamo karne wa 6th BC, Pythagoras aliunda jamii ambayo walikubaliana kusoma mara kwa mara at a very high level, kuwa vegetarian na kutojahimiana.
Wanasema enzi hizo celibacy ilikuwa inatumiwa sana na wanaume na ungeweza kuwatambua hao wanaume kwa maneno yao kama "that will do" na "that is about right".
Tatizo ni kwamba gone are the days when wanaume walikuwa wanaume wa ukweli for being able to estimate an eighth of an inch or more usually 3 sixteenths. Siku hizi badala ya kujikita kwenye "fine tolerances" everything is "just a little bit".
Wakati mwanaume anatoka home kwenda baa anapanga kabisa kuwa atakunywa bia mbili tuu lakini akifika pale anakunywa bia 6 na kuzishushia na nyama choma.
Simply no restraint au msimamo.[/QUOTE
Element kubwa ya celibacy ni kutokuoa. Ni wazi kuna tofauti kati ya celibacy ya kidini, mf ile wanayoishi mapadre na celibacy ya kawaida ya uraiani. Celibacy ya mapadre, watawa wa kike na wa kiume inaendana na kiapo kwamba mhusika ataishi maisha yake yote katika hali celibate. Kwa hiyo ni tofauti na temporary abstinance from sexual activities.
Celibacy ya uraiani kama hiyo ya akina Pythagoras ni ya muda fulani tu. Kumbe mtu baada ya kujinyima kwa muda fulani anaweza kuamua kufunga ndoa yake na kuachana na celibacy. Hii celibacy ya Pythagoras imejikita zaidi katika falsafa kwa malengo ya kuwa huru kwa ajili ya kuweza kuchambua vyema philosophical issues.
Nakubaliana na wewe kwamba inawezekana celibacy imepitia hatua nyingi mpaka kufika hapa ilipo.