tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,672
- 19,187
Duuuuh huyu
Duh!..🤔🤔🤔Ukitaka kujua ka ni mtera angalia vifundo vya miguu. Huyo 100% ni mtera
Ukitaka kujua ka ni mtera angalia vifundo vya miguu. Huyo 100% ni mtera
We jamaa unapenda sana hilo gari la harrier tako la nyaniHarrier tako la nyani nita muhonga ngoja ni shinde mkeka naua wakubwa wote man u Barcelona arsenal real Madrid Bayern Munich
Sio nalipenda Mimi warembo ndio wanataka kuhongwa harrier tako la nyani hawataki tena vitzWe jamaa unapenda sana hilo gari la harrier tako la nyani
Ana mtoto mmoja tuAlishaolewa Chief na ana watoto wawili lakini kama kigori vile
Edit tu.Mods mnaweza futa huu uzi ili niurekebishe kuna makosa kiufundi
Kwa uzuri kweli ni mzuri
Anaanzia wapi kunizidi hahahahah lol..kwani huyu anakuzidi?
Kuna kipindi mondi alikua anafukuzia huyu mtoto,sijui aliishia wapi!
Nasikia hapa Mondi kapita,assist aliwekewa na dada yake queen.
KAZEZE KAZEZENi Mzuri ila sio kupita wote.
Nasikia hapa Mondi kapita,assist aliwekewa na dada yake queen.
Kuna kipindi mondi alikua anafukuzia huyu mtoto,sijui aliishia wapi!
alimpata, akamla akamtema
alipita humo,kwa mujibu wa shigongo
Hata Soudybrown alikuwa wa kwanza kuripoti,Shigongo mwenyewe source yake ilikuwa U heard ya Soudy.
Kama MONDI kapita basi NI KAZEZE NI KAZEZE ,Juzi Alipima NGOMA hadharani lakini Majibu alikataa yatangazwe,kwa wasanii wanavyopenda sifa ya kuweka majibu yao wazi wakiwa -ve,kwa kitendo cha MONDI kukataa kuweka wazi majibu yake ni KAZEZE NI KAZEZE.KAZEZE KAZEZE