Bongo Bahati Mbaya tu~ Karibu Ulaya tu!

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
12,547
2,000
Mnakumbuka juzi kati hapa niliwaandikia thread ya mwanamke alikuwa wa kwanza kumshawishi bwanake na wana harusi leo jumamosi?!
Kwa mliomiss link hii hapa Ladies, hii ndio njia ya kuolewa fastaa

Basi leo nimekuja kwenye harusi hio hio niliowaambia, fresh nini reception watu 20, kuna kaka akawa ananiangalia sana, nikahisi labda ananijua or smthng... Uzalendo ulipomshinda akanifuata,

Kaka: samahani mami nahisi nakufahamu!

Money Penny: ivo ee? Wap tumeonana

Kaka: Wewe sio Money penny wa jamii forum kweli?! Kama ni wewe kabisa nimekuona kwenye blog yako

Money Penny: nikauchuna, hapana sio mimi, nikamdanganya hapana yule ni pacha wangu

Basi kuniganda na hivi mume wangu hakuwepo nilichokaa!! Katika mazungumzo yoooote ameongea hamna hata moja la maana anaanza kuniimbia bongo fleva

Kaka: oh money penny me najua ni wewe tu, we mtoto mbona mzuri sana, yani wewe Bongo umezaliwa bahati mbaya tu, mara naomba nikushike mkono, mara naomba niwe mpenzi wako wa siri hata kama sina hela nitakuwa mwizi kwa ajili yako tu, nikamkatalia lkn wapi! Meza tuliokaa na wababa watu wazima yeye na Mc wote sauti moja
Dada nikubalie tu me nakupendaga sikunyingi kwa stori zako, dada tafadhali

Kulikuwa na mbabu hapo pembeni akasema dada mkubalie tu huyu kijana huwezi jua bahati yako

Money Penny: Kaka me mke wa mtu nina watoto 3 wengine wapo chuo wana soma, unaona pete hii me mke wa mtu

Kaka: dah we money penny asee acha roho mbaya nikubalie tu, au ni vile sina uwezo ningekuwa na pesa me ningekuoa hata mara 7, kuanzia juu mpaka chini mama unawaka kama dhahabu afu unaonekana mtamu hatari, na yale mambo yetu ya kitandani me najua we fundi maana stori zako sizikosi kabisa,

Ivi unajijua lakini au me nabwabwaja bure tu hapa?!

Money penny: hapana sijui ila nachojua me ni mke wa mtu

Kaka: the way upo sexy leo, u turn me oooon! Embu ona hapa, akafungua suruali, ona mboo imeshasimama kwa ajili yako me nakupendaga mpaka mboo imekufurahi (Yani bila aibu) akawa analazimisha mkono wangu ushike dudu yake, nikakataa.
Dah we dada wewe Mungu kukuleta Bongo alikosea sana, kwako bongo ni bahati mbaya tu

kaka akanigaaanda kwenye kuchezaaaaa, kwenye msosiiiii, harusi ikakaribia kuisha anataka kwenda na mimi nyumbani kwangu kha!

Ivi nyie wa kaka wa jamii forum vepee? Hata wake za watu mnawaganda mna shida gani labda?!
Me nishawaambia huwa sipokei free mbupu wala kutoa chiu!

Harusi ilipoisha naingia kwenye gari nae anakuja chee! Nikamdanganya kanichukulie purse yangu bebi basi afu tuondoke, nimeisahau pale mezani ile ameenda tu me nduki kurudi a nakutana na alama za matairi

Popote ulipo we kaka, ndugu ya bwana harusi ambae alifosiwa kumwona shogangu, leave me alone!
Have a self respect for a married woman oo!
Akina ngoja buana sijui wapoje!


Mkimaliza mtanikuta huku kwa mangi napata Ubuyu WANAUME MTAENDELEA KULOGWA MSIPOACHA HAYA ....
 

BIGstallion

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
6,365
2,000
Kuna sehemu uko nimesema "mami" nimepokea makofi hatari,.. Wanasema ilo neno LA kike,..sasa apa naona linajirudia kwa kaka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom