Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

Mtoto wa Abdulkareem Atik,katoto kazuri hako toka kadogo,kitambo hicho pande za Sinza D' ,mabaharia tunakajua toka kachanga..
 
Anaanzia wapi kunizidi hahahahah lol..

Wkt ukiniona unaweza toka mbioo hahah

Mimi naskiaga mademu wa JF wote ni visu balaha!

ningeshangaa sana kama huyo angekuwa anakuzidi wakati mimi namuona wa kawaiiiiiiida.
 
angekuwa mzuri asingeachika tena mara mbili, lazima ana tatizo/ubaya huyu malaya
 
Kwa leo acha nimalizie na hii huyu dada mzuri bwana kama kuna mtu anayo connection anisaidie
 

Attachments

  • C1FFF290-13AD-419B-AE10-2B16C3090B75.jpeg
    C1FFF290-13AD-419B-AE10-2B16C3090B75.jpeg
    29.8 KB · Views: 34
Back
Top Bottom