DarInapatika wapi hiyo lodge?
welcome dearThank you.
Nitakutafuta.Usijali... nina access 100% ya kumfikia.
Kwani ni jambo la kushangaa hilo tenaNasikia hapa Mondi kapita,assist aliwekewa na dada yake queen.
Nakumbuka alivyokuwa akikimbiza farasi kwenye ile 'connection' yake.Shida nini mbna mnafukua makaburi