Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
1. Mzize - Mchezaji wa Yanga
Ukristo kwenda uislam
1710942220352.png


2. P Funk - Producer
Ukristo kwenda uislam
1710942233934.png


3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira
Uislam kwenda Ukristo
1710943736846.png


4. Barnaba - Msanii wa Muziki
Ukristo kwenda uislam
1710942245583.png


5. Mwijaku - journalist infuencer
Ukristo kwenda uislam
1710942256034.png


6. Young killer - Msanii wa muziki
Ukristo kwenda uislam
1710942265998.png


7. Jeff Dennis - Twitter Influencer
Ukristo kwenda uislam
1710943269114.png
 
Kumbe P Funk alibadili dini

Hapo najua Barnaba ni kama Ben Pol tu...kiki

P hajawahi kubadili dini, bali mama muislam akamwita Khalfan na baba mkristo ndio akamwita sijui nani,
Pfunk alibatizwa kwa jina la Paul, baba yake alikuwa mkrsto,

mama yake (Aunt Sheilah) inasemekana alikuwa muislam ila aliolewa kikristo.

P Funk alisilimu na kupewa jina la Khalfani ukubwani

hata kuoa anaoa kiislam

1710942883284.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom