Mpuuzi ni wewe unayefikiri Yanga inajiongoza. Kwenda katika nchi ya watu huendi tu kama unavyoenda bar au bafuni, lazima serikali yako ikuruhusu na serikali ya unakoenda ikupokee.
Usiwe mpuuzi uliyepitiliza kiasi cha kuropokaropoka kama juha. Aliyesema Darfur sio salama ni Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa Bernard Membe (ama sijui kwa akili yako huyo ni media za Ulaya na marekani?!) na amesema hayo bungeni.
Na mbona uiseme Yanga tu, kwani uliambiwa Simba inaenda?
Ndio shida ya wanaume kuishia kusoma magazeti ya udaku badala ya kusoma magazeti yenye habari. Mambo aliyoyaongea Waziri Membe bungeni, mwingine anasema 'media za marekani'. Umeenda hadi kwenye mafuta
da we jamaa ni aje mbona unatujazia jukwaa na habari isiyokuwa na kichwa wala miguu??hebu rudi kwa mwalimu wako wa imla ujifunze alafu uje kupost hapa
Itakuwa record mbaya kwa yanga kama watafanya hivyo!
Yanga waache uoga!mbona timu zingine zinaenda kucheza huko darfur?wao wanasikiliza maneno ya media za ulaya na marekani kuwa sudan sii salama huku wanamezea mate mafuta.Waende waache upuuzi
...yaaap yap..! mkuu lakini ili tuhabarike lazima habari iwe habari na si mhtasari wa habari,hususan kwenye forums kama hizi zinazosomeka kudunia kote, kwa mfano stori hii ulikuwa na kila sababu ya kutuliaaa kama unanyolewa na kuleta fulu story,ingetufaa wengi....
Ndo shida ya watoto wa Jangwani. Wenzao wanapiga dili hadi Mogadishu, wao wanaogopa Darfur ambako usalama una afadhali
Hivi unadhani hakuna wanaoishi Darfur nje ya Wasudan wenyewe? Nimetoka huko just recent ni kuzuri tu, achana na habari z Al Jazeera, DW, CNN na BBC, see for yourself.Wenzao kina nani? Acha umbea.
Musonye apimwe akili, hivi Africa Mashariki na kati yoooooooote hii mpaka watu wakachezee Darfur?
Hivi unadhani hakuna wanaoishi Darfur nje ya Wasudan wenyewe? Nimetoka huko just recent ni kuzuri tu, achana na habari z Al Jazeera, DW, CNN na BBC, see for yourself.
Moyoni mwako unajua fika kwamba Yanga hawawezi kuikimbia Simba Koko. Kilichotokea ni kwamba Yanga na Simba Koko walikaa kwa pamoja na kukubaliana kutopeleka timu uwanjani. Yanga, kwa kudhania kuwa wameongea na wanaume wenzao, kweli hawakupeleka timu uwanjani. Upande wa pili, jopo la wakuna nazi likaamua kwenda uwanjani kuchukua ujiko. Matokeo yake Yanga ikafungiwa kushiriki Kagame kwa miaka 3, jambo ambalo CECAFA wenyewe walijiiona wamechemka na kuamua kuifungulia Yanga mwaka juzi.
Kudhihirisha Yanga ni timu mume, taarifa za kufunguliwa zilikuja just one week kabla ya mashindano. Lakini kwa kuwa Yanga haiogopi vita, vijana wakazama ndani na kubeba ndoo. Msimu uliofuata (uliopita) Yanga tena wakabeba ndoo. Baada ya kuona Yanga anabeba ndoo mfululizo, CECAFA ikahofia Yanga italibeba tena na kulichukua moja kwa moja. Musonye akatumia janja ya kupeleka michuano Darfur.
Ukiwa na akili timamu, Darfur haiingii akilini kwanza hata watazamaji hakuna. Hii ni janja ya CECAFA ili isilazimike kununua kombe lingine. Na wanaogopa kulihamishia sehemu nyingine kwa kuwa wanajua Yanga wanayo jeuri ya kulichukua hata likichezwa Rwanda kwani Yanga imeshafanya hivyo mara mbili tofauti na Simba Koko ambaye yeye ni kama mbwa koko, yaani anabweka nyumbani tu, akiwa ugenini ni kama kondoo mgeni.
Ama kuhusu kukimbia uwanjani, yawezekana umri wako ndio tatizo. Ni Simba Koko ndio iliwahi kukimbia uwanjani mwaka 1993 (kama sikosei). Ilikuwa mapumziko na 3 zilikuwa zimeshapigwa ndio vijamaa vikaamua kubanisha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo pale shamba la bibi. Baada ya refarii kuvisubiri kwa muda mrefu, aliamua kuvifuata huko ndani 'vikamjibu kuwa havitarudi uwanjani ng'o mpaka vipewe bagia na Dewji'
Kimahesabu Simba Koko wali-win. Enzi hizo ukiweka mpira kwapani mpinzani wako anapewa points 2 na magoli mawili, sasa wao ilikuwa mapumziko na tayari wameshalamba 3, kwa hiyo nitakuwa mchoyo kutowapongeza, ama hakika walitumia akili kupunguza idadi ya magoli.
Mpuuzi ni wewe unayefikiri Yanga inajiongoza. Kwenda katika nchi ya watu huendi tu kama unavyoenda bar au bafuni, lazima serikali yako ikuruhusu na serikali ya unakoenda ikupokee.
Usiwe mpuuzi uliyepitiliza kiasi cha kuropokaropoka kama juha. Aliyesema Darfur sio salama ni Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa Bernard Membe (ama sijui kwa akili yako huyo ni media za Ulaya na marekani?!) na amesema hayo bungeni.
Na mbona uiseme Yanga tu, kwani uliambiwa Simba inaenda?
Ndio shida ya wanaume kuishia kusoma magazeti ya udaku badala ya kusoma magazeti yenye habari. Mambo aliyoyaongea Waziri Membe bungeni, mwingine anasema 'media za marekani'. Umeenda hadi kwenye mafuta
Serikali ndio imesema SUDAN sio salama(Benard Membe waziri wa mambo ya nje) kwa hiyo timu zake (Simba na Yanga ) zisiende