Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
I simply love Uganda ! Funga hao mapimbi wa taifa la mafisadi
naaam mkuu sasa tushindwe vyotedak 71 hali yetu bado mbayo...ila sifa yetu ni kucheza rafu tu.
Cranes Kama Yanga
3-0 dak 73 kwa tanzania.
La 3 uganda wanatupia
dak 71 hali yetu bado mbayo...ila sifa yetu ni kucheza rafu tu.
Tatizo sio Yondani mkuu....Tatizo hapo ni Kaseja...Kwa nini ameutema huo mpira?....Kautema mpira wa free kick, Ssentongo ameuwahi akafunga.......huyu yondani ni ****