Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,056
- 134,374
hivi ni wachezaji wangapi wa zanzibar heroes ambao wako taifa stars? hivi Humud amestaafu kucheza?
kwa kweli moja ya timu ambayo huwa siiaminii ni zenji!
Hahaaaaaa.......Haya bana....kiongozi hebu fanya summary kabla ya kuondoka kwenye chumba cha kutangazia!!!
matokeo ya mwisho
kumbushia wafungani
kama kuna kadi zilizotoka
na mengine muhimu ya ndani na nje ya uwanja!!!
Hahaaaaaa.......Haya bana....
Na mpira umekwishaa.....Mpira umekwisha ndugu wana JF.....
Tanzania bara, Kilimanjaro Stars wanaondoka na ushindi wa magoli mawili kwa bila dhidi ya Rwanda......Magoli ya Tanzania bara la kwanza limefungwa na Amri Kiemba dakika ya 34 baada ya kupata pasi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto aliyeiwachambua mabeki wa Rwanda kutoka kona ya kushoto na kutoa V pasi ambayo ilimkuta Amri Kiemba ambaye bila ajizi alimuangalia Jean Claude Ndoli amekaaje na kuujaza mpira wavuni, goli la pili limefungwa na John Bocco ambaye alitumia vizuri uzembe wa kipa Jean Claude Ndoli ambaye aliutema mpira(shuti kali) uliopigwa na mtaalamu Mwinyi Kazimoto.......
Kwa ujumla timu zote leo zimecheza vizuri na zilikuwa zikishambuliana kwa kupokezana na kwa maoni yangu Mwinyi Kazimoto ndiye MOTM kwa mchezo wa leo....
Pia pongezi ziwaendee makipa wote wawili Juma Kaseja wa Tanzania bara na Jean Claude Ndoli wa Rwanda ambao wameokoa michomo mingo iliyoelekea katika magoli yao......
Kwa matokeo haya Tanzania imesonga kwenda Nusu Fainali na wanasubiri mshindi kati ya Uganda na Ethiopia hiyo kesho ambaye ndiye watapambana naye katika mechi ya Nusu fainali......
Hongereni sana watanzania....
Kwa niaba ya mtangazaji/mchambuzi mwenzangu watu8 , msimamizi wa matangazo haya Eqlypz na Fundi mitambo Invisible nawarudisha moja kwa moja studio namba moja ya JF kuendelea na matangazo ya mechi kati ya Intamba Murugamba ya Burundi na Zanzibar Heroes......Kia la heri Zanzibar Heroes.....
Wakatabahu.....
Bala.
Hamna kitu hapo mkuu.........kwa ambao wanataka kufuatilia live score za cecafa ....LiveScore.com : Africa Soccer Live Scores
Ni wapuuzi tu ndo wataibeza timu kwa kuwa na wachezaji wengi kutoka Azam, Simba, Yanga et al........Hao ni mashabiki maandazi/Viazi/Vilaza......Timu ya Taifa ya Hispania huwa ina wachezaji wengi toka Barca ama Real na hakuna hata siku umekuta waspaniola wanaongea mabo hayo ya u Barca wala Real.......mkuu @Balatanda umetisha mbaya heshima kwako lakini nina swali la kizuri yanga mlikuwa mnaibeza timu hii eti haina wachezaji wengi kutoka kwenu yanga wewe kama mtaalam wa soka la kibongo hasa hapa JF, je una maneno machache juu ya hilo
Mkuu umetisha, kama Thomas Yule wa supersport.Hahaaaaaa.......Haya bana....
Na mpira umekwishaa.....Mpira umekwisha ndugu wana JF.....
Tanzania bara, Kilimanjaro Stars wanaondoka na ushindi wa magoli mawili kwa bila dhidi ya Rwanda......Magoli ya Tanzania bara la kwanza limefungwa na Amri Kiemba dakika ya 34 baada ya kupata pasi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto aliyeiwachambua mabeki wa Rwanda kutoka kona ya kushoto na kutoa V pasi ambayo ilimkuta Amri Kiemba ambaye bila ajizi alimuangalia Jean Claude Ndoli amekaaje na kuujaza mpira wavuni, goli la pili limefungwa na John Bocco ambaye alitumia vizuri uzembe wa kipa Jean Claude Ndoli ambaye aliutema mpira(shuti kali) uliopigwa na mtaalamu Mwinyi Kazimoto.......
Kwa ujumla timu zote leo zimecheza vizuri na zilikuwa zikishambuliana kwa kupokezana na kwa maoni yangu Mwinyi Kazimoto ndiye MOTM kwa mchezo wa leo....
Pia pongezi ziwaendee makipa wote wawili Juma Kaseja wa Tanzania bara na Jean Claude Ndoli wa Rwanda ambao wameokoa michomo mingo iliyoelekea katika magoli yao......
Kwa matokeo haya Tanzania imesonga kwenda Nusu Fainali na wanasubiri mshindi kati ya Uganda na Ethiopia hiyo kesho ambaye ndiye watapambana naye katika mechi ya Nusu fainali......
Hongereni sana watanzania....
Kwa niaba ya mtangazaji/mchambuzi mwenzangu watu8 , msimamizi wa matangazo haya Eqlypz na Fundi mitambo Invisible nawarudisha moja kwa moja studio namba moja ya JF kuendelea na matangazo ya mechi kati ya Intamba Murugamba ya Burundi na Zanzibar Heroes......Kia la heri Zanzibar Heroes.....
Wakatabahu.....
Bala.
mmebahatishaHahaaaaaa.......Haya bana....

Mkuu umejibu kwa busara kama makamu mwenyekiti wako Clement Sanga.Ni wapuuzi tu ndo wataibeza timu kwa kuwa na wachezaji wengi kutoka Azam, Simba, Yanga et al........Hao ni mashabiki maandazi/Viazi/Vilaza......Timu ya Taifa ya Hispania huwa ina wachezaji wengi toka Barca ama Real na hakuna hata siku umekuta waspaniola wanaongea mabo hayo ya u Barca wala Real.......
Ninachoangalia mimi ni utaifa......Siangalii kikosi kina wachezaji wangapi wa Yanga, Simba, Azam wala CUSC......
Ni wakati wa watanzania kubadilika sasa....Hayo mambo ya Uyanga na Usimba ndio yametufikisha hapa tulipo....Hatuendelei kisoka.....
Namsifu sana kocha Kim Poulsen kwa kuwaita vijana kwenye kikosi hiki.....Aendelee nao hawahawa na ikiwezekana aongeze wengine......Tutafika mbali sana...
Btw.....Linapokuja suala la kuendeleza vipaji vya vijana, sidhani kama kuna timu Tanzania itawazidi watani wangu Simba(nawapongeza sana kwa hilo) . Angalia Jonas Mkude, Rama Singano, Edward Chrisopher, Shomari Kapombe na wengine wengi........Wanafuatia Azam, Yanga tumeanza sasa hivi baada ya kuona wenzetu wanafaidi matunda ya vijana wao....Timu yetu ya vijana imeshiriki Etihad Cup na jana imetolewa na Etihad FC katika Nusu fainali kwa kufungwa magoli 3-1
Ni kwa kuwaendeleza hawa vijana tu ndio tutakwenda Brazil mwaka 2014 na WC ya 2018..........Si vinginevyo
mmebahatisha
Nashukuru sana , sijui tunakutana na nani hatu inayofuata ?
hivi ni wachezaji wangapi wa zanzibar heroes ambao wako taifa stars? hivi Humud amestaafu kucheza?
Ni wapuuzi tu ndo wataibeza timu kwa kuwa na wachezaji wengi kutoka Azam, Simba, Yanga et al........Hao ni mashabiki maandazi/Viazi/Vilaza......Timu ya Taifa ya Hispania huwa ina wachezaji wengi toka Barca ama Real na hakuna hata siku umekuta waspaniola wanaongea mabo hayo ya u Barca wala Real.......