CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

mkuu unataka kusema majirani rafiki hawakuwa na uwezo wa kushinda ila walibebwa na sir God!!

Siyo kamba haakustahili kushinda isipokuwa hakuna chochote kinachoweza kufanyika chini ya jua bila Mungu kuweka mkono wake ama kukubali,na tambua kwamba If God say YES!no body can say NO!& If God say NO!,no Body can say YES!
 
hapa watajuta kuwa fahamu kili stars...
 
D.Biroli ametukosakosa pale inatakiwa Kili Stars wawe makini zaidi...Free kick wamepata Rwanda hali sio nzuri.
 
Free kick kuelekea lango la Stars.......

Jean Claude Iranzi anapiga........Anapaisha
 
Siyo kamba haakustahili kushinda isipokuwa hakuna chochote kinachoweza kufanyika chini ya jua bila Mungu kuweka mkono wake ama kukubali,na tambua kwamba If God say YES!no body can say NO!& If God say NO!,no Body can say YES!
kweli kabisa mkuu kwa Mungu hata mimi mwenyewe huwa piliton na kumuachia yeye aamue!!!hata hawa tumewashika kwa nguvu ya huyo aletaye jua na majira ya mwaka!!!
 
Bilori anahangaika kweli....Beki ya Stars inapaswa kuwa makini nae
 
Ngassa hayupo vizuri leo........

What a cross by Niyonzima......Bilori misses the header.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…