Kinachotokea ni kuwa viwanja vyenye natural grass turf inabidi pitch iwe inabadilishwa baada ya miaka kadhaa, yaani wanatifua kuanzia chini na kuiweka upya.
Inapotokea hawafanyi hivyo, udongo wa uwanja unakomaa na nyasi zinatengeneza mizizi migumu ya kudumu. Baada ya muda kupita uwezo wa uwanja kupitisha maji through drainage sytem unapungua hivyo kutuamisha maji inapotokea mvua imenyesha.