Ahsanteni wakuu kwa kuwa pamoja kwa dakika 90 za mchezo huu tutakutana keshokutwa tena humu ndani Mphamvu kazi nzuri kwa kutuunganisha usisahau mechi inayofuata,ila kama utakuwa mgonjwa utuambie mapema.
Usijali WABHEJASANA!
Mimi na wewe dugu moja, CHAKO CHANGU, CHANGU CHANGU. Mke wako mke wangu, mke wangu shemejiyo.
Nikianguka uniinue, ukianguka nikuangukie...
Yes mkuu lakini kama umejiunga na Super Sport Phone.
Fungukeni kama mko serious watu tuwaandalie pambano....tehe teheeh!!Shimo la panya halizibwi kwa kipisi cha mkate bro.
Kama unataka paring na mimi funguka...
CECAFA ingewapiga marufuku hawa Somalia kushiriki haya mashindano, maana kila mwaka wamekuwa ni kama punching bag ya timu nyingine.5 - 1 in favor of Burundi
Michuano imeanza leo tarehe 24 Novemba huko Uganda.
Stay tuned kujua kinachojiri huko...
Shimo la panya halizibwi kwa kipisi cha mkate bro.
Kama unataka paring na mimi funguka...
Fungukeni kama mko serious watu tuwaandalie pambano....tehe teheeh!!
Huwa sibishani mara mbili........niambie upo pande gani nikuzukie nikupe discpline za uhakika...Kwa taarifa tu aga ukoo wako wote............kwa kuanzia Tanga!
CECAFA ingewapiga marufuku hawa Burundi kushiriki haya mashindano, maana kila mwaka wamekuwa ni kama punching bag ya timu nyingine.
Hapa sio ulikua unataka kuandika Somalia???
ha ha ha ha ha!!huu mkwara mbuzi jamaa akizuka hautatimua mbio kweli!!!!Huwa sibishani mara mbili........niambie upo pande gani nikuzukie nikupe discpline za uhakika...Kwa taarifa tu aga ukoo wako wote............kwa kuanzia Tanga!
ha ha ha ha ha!!huu mkwara mbuzi jamaa akizuka hautatimua mbio kweli!!!!