CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Yaani kwa Chuji na Niyonzima pale kati 99.9% Yanga itatakata
 
Kudadadeki kwa hiki kikosi wameumiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:-
Berko
Mwasyika
Oscar Joshua
Vidic
Canavaro
Chuji
Gumbo
Febregus
Kiiza
Bahanuzi na
Luhende

Subiri Ngasa aingie kipindi cha pili kuja kuwaua yebo mtamtaka leo.
 
Kudadadeki Migulubaja anataka kuanza kuleta nuksi zake
 
Kwa sababu leo mimi naangalia ufundi hadi sasa Azam wako vizuri kiufundi kilichobaki ni mbinu tu kama wanataka kushinda, na Yanga kama wanataka kushinda inabidi waboreshe mbinu zao maana kiufundi mpaka sasa wamezidiwa.
 
Kwa sababu leo mimi naangalia ufundi hadi sasa Azam wako vizuri kiufundi kilichobaki ni mbinu tu kama wanataka kushinda, na Yanga kama wanataka kushinda inabidi waboreshe mbinu zao maana kiuwezo mpaka sasa wamezidiwa.

nakuunga mkono
 
Kiukweli mpaka sasa yanga wamezidiwa kila idara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…