CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Ila Azam lazima wawapige bao kwenye fainali
Ingekuwa mpira unachezwa mdomoni(kama nilivyomwambia Crashwise) Simba wangekuwa fainali sasa......Maana mara baada ya kutwaa kombe la kuku/urafiki Zanzibar walijinasibu kwamba lazima wachukue na Kagame....
 
Last edited by a moderator:
Dakika ya 120


APR 0-1 Yanga

Dakika 3 za nyongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…