Huu uswahili ndio unafanya soka letu lisipige hatua.NGassa anachemka mtu mwenyewe,msianze kuleta uswahili.Kama kwenye mchezo wa leo ukiondoa goli zuri alilofunga sikuona effectiveness yake.
kila mchezaji anaumuhimu pale azam so ndio maana mwidini hakucheza ili asichoke maana ligi ikianza atakuwa anabadilishana na dida nyie subirini VPL ianze tutakuwa bomba balaa yaani wewe acha tu..
Yes, sasa Yanga ndio wameishika mechi.
Hii ni tactic ya Saintfiet kama nilivyoilezea kwenye half-time match analysis yangu kwenye posy moja huko nyuma.